mambo mapya ya a-taun kama alivyoshuhudia mdau fred mwanri majuzi ambapo anakiri kwamba bongo inazidi kuwa tambarare...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. what do you mean by heritage??

    hotel? hospital?supermaket? or? so please translate unatuweka roho juu wenzako!!
    mwanawane.

    ReplyDelete
  2. Mbona bado naona vumbi jamani???

    ReplyDelete
  3. hata mi hapo cjaelewa hiyo ni nini though najua meaning ya heritage...weka uchi bro michuzi...

    ReplyDelete
  4. huyo muhindi anaitwa seif namkubali lakini katuibia sana wadau tuliokuwa karibu nae

    ReplyDelete
  5. Hio Arusha ina nini? vumbi tupu, mbali ya Sokoine road, Old moshi road na barabara ya east africa kuna nini zaidi ya hapo?

    ReplyDelete
  6. Masai Mpare, wewe ulijua jamaa ni mwizi kwanini hukuchukua hatua mpaka uone kajenga kitu kama hicho ndio ulalamike? Inajulikana hawa jamaa magabachori ni wezi wa rasilimali zetu , lakini kwanini umechelewa mpaka ukaibiwa?. siku nyingine mdogo wangu uwe makini, amka mapema!!!!!

    ReplyDelete
  7. "cultural Heritage" ni sehemu ya kununua vinyago mjini Arusha!

    ReplyDelete
  8. watu tunaoishi A.City hapa ndo tunanunua msuba fresh kutoka Orkokola yaani chalii kijiti cha hapa utakua stone whole week.(Kama wewe sio regular ukifika hapo ukisema msuba au bangi hupati kitu,sema maja nguya ukoi na kijiti cha danta?

    ReplyDelete
  9. Hilo ndilo duka la kimataifa la vinyago tanzania and sio vinyago pekeyake but kuna mambo mengi kama madini ya tanzanite,pamoja na mambo mengi ya kale,mfano kuna mavazi waliokuwa wanatumia wazee wetu wa zamani na hata mask za zamani.
    Hilo duka watalii kokote pale duniani wanaweza kukaa kwenye internet ma home kwao then wakaangalia vitu mbalimbali kutoka dukani hapo through tovuti then wakafanya manunuzi na kutumiwa popote walipo.
    Seif ameingia mkataba na DHL so kila kitu kinatumwa na hao jamaa.
    haya ni mafanikio mema kwa uchumi wetu na hatimae nchi nzima.
    Tusikae kulalamika kwamba Seif mwizi mwizi je ni nani ambaye anauhakika!!!!
    na ni nani sio mwizi nchi hii!!!
    acheni kulaumu bwana hata maendeleo mnataka nini nyie wabongo jamaniii,,

    ReplyDelete
  10. halafu cha pili nani anasema arusha hamna kitu!!!!!!!!
    ni wapi basi kwenye kitu!!!
    na Arusha ndilo sehemu ambayo inatambulika duniani kuliko sehemu zote duniani and inavitu vingi vya kifahari kama hamjui just look on the world rank cities kwenye GOOGLE.

    ReplyDelete
  11. TUOMBE MSAMAHA PLEEESE!!
    kaka michu sisi wakazi wa A City the geneva of Africa tunakutaka utuombe radhi kwa kuliita jiji letu eti A-town!! hatuitwi hivyo tena siku hizi please!!
    HII NI A-CITY bwana si unaona majengo kama hayo utayapata wapi hapa Duniani kama sito A-City?!!
    omba msamaha!!
    vonmasho - A-City

    ReplyDelete
  12. oh God. love A town or city
    Michuzi you remind me home !!!!
    miss Arusha so much
    its the best place to live in Tanzania. I don't care what anybody says.
    Home sweet home

    mdau nje ya nchi

    ReplyDelete
  13. Arusha vumbi tupu, yaani hata hapo stendi ya basi unaweza kupatwa na ugonjwa pumu kwa vumbi, kama huyo anon wa hapo juu, mitaa inayofahamika ndio hio mitatu tu kwasababu wamewekewa lami, hizo sehemu nyingine zilizobakia mavumbi tu, inatia aibu kwamba ni mji unaopokea wageni wa nje kila siku/mwaka. Pesa zote zinapelekwa Dar kwa mafisadi. wale wanaofuga ng'ombe hawapati maziwa, maziwa yanakwenda Dar.
    Arusha vumbi tupu.
    Amkeni watu wa Arusha.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...