Home
Unlabelled
heritage
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
what do you mean by heritage??
ReplyDeletehotel? hospital?supermaket? or? so please translate unatuweka roho juu wenzako!!
mwanawane.
Mbona bado naona vumbi jamani???
ReplyDeletehata mi hapo cjaelewa hiyo ni nini though najua meaning ya heritage...weka uchi bro michuzi...
ReplyDeletehuyo muhindi anaitwa seif namkubali lakini katuibia sana wadau tuliokuwa karibu nae
ReplyDeleteHio Arusha ina nini? vumbi tupu, mbali ya Sokoine road, Old moshi road na barabara ya east africa kuna nini zaidi ya hapo?
ReplyDeleteMasai Mpare, wewe ulijua jamaa ni mwizi kwanini hukuchukua hatua mpaka uone kajenga kitu kama hicho ndio ulalamike? Inajulikana hawa jamaa magabachori ni wezi wa rasilimali zetu , lakini kwanini umechelewa mpaka ukaibiwa?. siku nyingine mdogo wangu uwe makini, amka mapema!!!!!
ReplyDelete"cultural Heritage" ni sehemu ya kununua vinyago mjini Arusha!
ReplyDeletewatu tunaoishi A.City hapa ndo tunanunua msuba fresh kutoka Orkokola yaani chalii kijiti cha hapa utakua stone whole week.(Kama wewe sio regular ukifika hapo ukisema msuba au bangi hupati kitu,sema maja nguya ukoi na kijiti cha danta?
ReplyDeleteHilo ndilo duka la kimataifa la vinyago tanzania and sio vinyago pekeyake but kuna mambo mengi kama madini ya tanzanite,pamoja na mambo mengi ya kale,mfano kuna mavazi waliokuwa wanatumia wazee wetu wa zamani na hata mask za zamani.
ReplyDeleteHilo duka watalii kokote pale duniani wanaweza kukaa kwenye internet ma home kwao then wakaangalia vitu mbalimbali kutoka dukani hapo through tovuti then wakafanya manunuzi na kutumiwa popote walipo.
Seif ameingia mkataba na DHL so kila kitu kinatumwa na hao jamaa.
haya ni mafanikio mema kwa uchumi wetu na hatimae nchi nzima.
Tusikae kulalamika kwamba Seif mwizi mwizi je ni nani ambaye anauhakika!!!!
na ni nani sio mwizi nchi hii!!!
acheni kulaumu bwana hata maendeleo mnataka nini nyie wabongo jamaniii,,
halafu cha pili nani anasema arusha hamna kitu!!!!!!!!
ReplyDeleteni wapi basi kwenye kitu!!!
na Arusha ndilo sehemu ambayo inatambulika duniani kuliko sehemu zote duniani and inavitu vingi vya kifahari kama hamjui just look on the world rank cities kwenye GOOGLE.
TUOMBE MSAMAHA PLEEESE!!
ReplyDeletekaka michu sisi wakazi wa A City the geneva of Africa tunakutaka utuombe radhi kwa kuliita jiji letu eti A-town!! hatuitwi hivyo tena siku hizi please!!
HII NI A-CITY bwana si unaona majengo kama hayo utayapata wapi hapa Duniani kama sito A-City?!!
omba msamaha!!
vonmasho - A-City
oh God. love A town or city
ReplyDeleteMichuzi you remind me home !!!!
miss Arusha so much
its the best place to live in Tanzania. I don't care what anybody says.
Home sweet home
mdau nje ya nchi
Arusha vumbi tupu, yaani hata hapo stendi ya basi unaweza kupatwa na ugonjwa pumu kwa vumbi, kama huyo anon wa hapo juu, mitaa inayofahamika ndio hio mitatu tu kwasababu wamewekewa lami, hizo sehemu nyingine zilizobakia mavumbi tu, inatia aibu kwamba ni mji unaopokea wageni wa nje kila siku/mwaka. Pesa zote zinapelekwa Dar kwa mafisadi. wale wanaofuga ng'ombe hawapati maziwa, maziwa yanakwenda Dar.
ReplyDeleteArusha vumbi tupu.
Amkeni watu wa Arusha.