kama denda halijakutoka mshipa wa hamu utakuwa umekatika

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Jamani ehh, kuna mtu wa SUA anaitwa Misinzo alituambia mwezi uliopita ana defend PhD Thesis yake live kwenye internet. Hatukuweza kuiona live hiyo defense yake sisi wengine. Tunaomba atuambie tena nini matokeo ya defense yake. Pia kuna taarifa kwamba ame-patent kirusi cha Nguruwe. Je ni yeye ka-patent au ni University yake aliyosoma? Nani ana-own hiyo patent What next baada ya kupata patent ya hicho kirusi cha Kitimoto?

    Tupe habari ili tuweze kumchomea mishikaki ya mahindiz.....

    ReplyDelete
  2. jamani mahindi choma nimeyamiss, yaani kama nilikuw ana mimba ya mahindi bongo kila jioni pale africa sana lazima hata kipande tu nipate maisha yangu yote pale dar

    ReplyDelete
  3. mpya hiyo na vijiti siku hizi...Zamani zile mwenye kuchoma anaengeza mkaa before you know ameshika mhindi anageuza mara kachukua hela kaweka mfukoni mara muhindi unao mdomoni mtamu kama nini.....

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...