Kachumbari Flava,
Katika kuhakikisha kazi za wasanii wa Kitanzania hazitumiki kibiashara bila idhini yao, Kampuni ya Push Mobile ambao ndio wasambazaji wakubwa wa kazi za baadhi ya wasanii kwa njia ya milio(Ringtone) kupitia Kachumbari fleva wamefanikiwa Kukamata baadhi ya kazi za wasanii ambazo zilikuwa zikitumika kinyume na makubaliano kupitia kampuni moja toka nchini Kenya.
Kampuni ya Push Mobile kupitia brand yake ya Kachumbari iliamua kuchukua hatua zifuatazo
1.Kusimamisha uuzwaji wa kazi hizo kwenye kampuni hiyo mara moja.
2.Kuiamuru kampuni hiyo kutuma ripoti ambayo itaisaidia
Kampuni ya Push Mobile kufahamu ni kwa kiasi gani kazi za Wasanii hao zilitumika
Mafanikio
1.Kampuni hiyo ilikubali kusimamisha utumiajia wa kazi za wasanii
mara tu walipopokea taarifa.
2.Kampuni hiyo ilikubali kulipa kama ilivyotumia kazi za wasanii hao.
3.Push Mobile iliwataarifu wasanii Juu ya tatizo hilo kila mmoja kwa nafasi yake ikiwa ni pamoja na kuwapa ripoti ya iliyotumwa na kampuni hiyo.
4.Push ilifuatilia malipo kutoka kampuni hiyo ambayo tayari yamekwisha fanyika na mipango imefanyika kuwalipa wasanii.
Push Mobile itaendelea kufuatilia, na kuripoti matukio kama hayo kwenye vyombo vya habari ili kuufahamisha umma juu ya matumizi haramu ya kazi za wasanii kila itakapopata taarifa.
Nyuma ya Maelezo haya nimeambatanisha
Majina ya Wasanii Husika.
Profesa Jay
2. Mad Ice
3. Mr. Nice
4. Wakilisha
5. Ray C
6. Mr. Blue
7. Suma Lee
8. Q Chief
9. Mb Dog
10. Bushoke
11. Dully Sykes
12. Ferooz
13. Noorah
14. Mr. Ebbo
15. T.I.D.
16. Juma Nature
17. Matonya
18. Dudu Baya
19. Rose Muhando

Kumbe Fatma Karume mlimuonea bure kwa kumsakama.
ReplyDeleteKumbe alichokuwa anasema ni kweli bwana.
Mmesoma magazeti ya leo?
"Hakimu Jamila Nzota wa makama ya wilaya Temeke amekamatwa na PCCB akipokea RUSHWA ili atoe upendeleo kwenye maamuzi ya kesi"
Sasa mlichokuwa mnabisha ni nini?!?
Kazi nzuri.
ReplyDeleteJe hao Kachumbari wanawalipa wasanii wa USA kwa ringtone zilizo katika website yao??