Home
Unlabelled
kiapo ikulu leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Itatiro mzee wa Itifaki safi sana. Masinde kumbe alisharudi bongo. Hongereni!!
ReplyDeleteMichu, kweli huyo ni kikwete kweli? naomba uanaglie vizuri au macho yangu.
ReplyDeleteKILA LA KHERI JK a.k.a VASCO DAGAMA!!
ReplyDeletebongo bwana idara kibao na mambo bado hayaeleweki,ukiuliza hapo wanalipwa kiasi gani utakimbia wakati shule vijijini hazina madawati.
ReplyDeleteWadau naomba niulize, Hivi kila Mkurugenzi wa idara ya serikali huwa wanaapishwa Ikulu? Maana naona ikiwa ndo hivyo kiutaratibu basi Rais wetu ana kazi, kutokana na wakurugenzi kuwa wanateuliwa kila siku, hivyo Mh. Rais anakuwa na muda mdogo wa kuwajibika kuhakikisha wananchi wanapata huduma bora na sera bora kuinua maisha ya watanzania.
ReplyDeleteNi bora wakurugenzi 'wateuliwa' kukubali madaraka na wajibu wa cheo chake kwa kujibu barua ya uteuzi na sio kuingia ikulu kuapa.
Mdau
SeniorJunior.