Home
Unlabelled
kipende chako
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Nice packaging. Nimeona Starbucks label hapo. Kikombe kimoja watatuuzia dola $4!
ReplyDeleteMbona hapa bongo hatujaziona?
ReplyDeleteTuna wasomi na wafanyabiashara chungumzima wenye uwezo TZ, kwa nini asitokee mmoja tu auze hizi kahawa nje kwa jina lake badala ya kusubiri wazungu wanyonye damu zenu?
ReplyDeleteMimi nanunua kahawa ya Tanzania dola 5 kwa gramu 200, wakati mkulima analipwa dola moja kwa kilo yake ya kahawa. Mkitegemea mzungu daima mtakuwa masikini.
Kahawa za kopo ni za Japani zikitumia kahawa yetu. Wajapani wanapenda kunywa kahawa za vikopo kama sisi tunavyokunywa soda, unaweza kununua baridi au moto na kuna kahawa za vikopo nyeusi ya maziwa na isiyo na sukari. Mimi binafsi sipendi testi yake, napenda kutengeneza mwenyewe nyumbani. Pia, lebo ya "Kilimanjaro" si ya kahawa ya Tanzania tu, ni lebo ya kibiashara hapa. Niliposoma, imeeleza kuwa kokwa za kahawa aina ya ARABICA ambayo ni ghali, inaota sehemu chache duniani na ya kuridhisha kunywa kuliko ROBOST, huwa inachanganywa na kokwa za kahawa ya Brazil ya Arabica au nchi nyingine. Kama serikali yetu ingekuwa macho, ingeweza kuzui wafanyabiashara nje wasitumie majina yetu bila ya kulipwa. Pia kuna miwani za jua za bei mbaya zinaitwa SERENGETI Marekani na hata hapa wapo. Ethiopia imekuja juu na sasa inatumia majina ya mikoa yake kuuz a mbegu za bei juu za kahawa yake.
ReplyDeleteDUH iyo YA KIRINYAGA c ipo kwa watani wajadi hiyo....KENYA iyooo
ReplyDeleteWanaMichuzi ...
ReplyDeleteHiyo kahawa ya kopo imetengenezwa Japan ilikuja kwa kishindo sana hapo kipindi cha summer ila sasa hivi hazipo tena
kwenye Vending machine tusubiri toleo jingine sijui watakuja na fashion gani ... hapa jp walikuwa wanauza kwa 120 yen equivalent to 1.2 US $ and you get it when it is hot or cold .
Keep it up our brothers..
Mdau , Hashimoto .
Japan