Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. kuku waliliwa,,wanaliwa na wataliwa...bible yasema dunia itabadilika vitaumbwa vipya na nchi zitabadilika...tuko katika dunia ya kibepari sasa...vitu vinakimbia bila kujali speed ya watu wake....harakati za ukombozi na ujima zilikwishaga wakati huo..sasa ni ubepari wenye misuli iliyojaa unyama ukatili na ubinafsi kudadadaeki....we cheki tangu kelele za ufisadi zinapigwa nini kimebadilika...bei ya petroli juuu...umeme kiama...nauli za daladala waamuzi makondakta....full shagalabagala walah...mtajiju...me nipo hapahapa bongo nimebuni kamradi kakupambana na ubepari huu uso na aibu...upande wa simu natumia tigo isochaj pesa mingi,simu yangu nokia ya promoshen 25000/= naishi ubungo kazi mwenge...nalewa pombe za bei ndogo,,lengo ni kupunguza makali ya ubepari.....wasomi wanashauri NOT TO WORK HARD ANY MORE BUT TO WORK SMART....nawasilishaga mie..

    ReplyDelete
  2. Fanya kazi kama mtumwa ili watoto waje kuishi kama wafalme, sasa ndugu unajiachia na pombe za bei ndogo,,,nahisi ni mataptap hayo..kama bei ya lager inakutupa mkono bora uache pombe, siyo isue mtu wangu

    ReplyDelete
  3. Mla vumbi mwenzangu unalalama nini??Bongo tambarare.Endelea na wanzuki,pingu,gongo,mataptap.Mradi siku hazigandi.

    ReplyDelete
  4. Kweli hata mimi sikubali..miaka 46 ya Uhuru lakini kuna watu bado wanabeba maboksi, tena WANAMBEBEA MABOKSI MTU MWEUPE
    Its a pity
    haha

    ReplyDelete
  5. Mababu zetu walipelekwa ughaibuni kwa kamba, hawakutaka utumwa. leo wakifufuka watalia kwa aibu jinsi vijana wanavyofurahia ubebeji maboksi, lol. Mtu akipata viza anafanya sherehe, anasheherekea kuwa cheap labour

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...