HATIMAYE KUNDI LA KWANZA LA MAHUJAJI ZAIDI YA 300 LIMEONDOKA JIONI HII MILANGO YA SAA MOJA NA ROBO. WENGINE WANATARAJIWA KUONDOKA BAADAYE USIKU HUU.
Home
Unlabelled
KUNDI LA KWANZA LA MAHUJAJI LAONDOKA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


Mungu ni mwema. Habari njema hizi. Kweli hii 'FIASCO' imekuwa aibu kwa taifa letu. Watu wanajiandaa miaka na miaka kwenda kuhijji halafu wanangushwa kwa uzembe. Kwa kweli nimesikitika sana, lakini pia nimefurahi kusikia kuwa hatimaye mahujaji waliokwama wanaondoka.
ReplyDeleteAllah Akbar
ReplyDeleteMungu mkubwa, tuna tumaini na waliobaki wataweza kusafili kabla deadline haijafika.
The ATC corp. should ensure the thing like this never happen again for matter of fact they have to be sued
Tunamshukuru Mungu kuwajaalia wenzetu kufanikiwa kupata usafiri na tuendelee kuwaombea dua.
ReplyDeleteInasikitisha kuona wanablogu wengine wakileta mazungumzo yasiyo na maana kwamba udini and so on.
All in all tunamshukuru Mungu kufanikiwa kwa wenzetu, had we been in this situation, jee tungezungumzia udini - jamani acheni hizo!!!!!!!!!!!
wala si aibu ya Taifa letu.Mungu alipanga hii ilikuwaonyesha ndugu zetu waislam kwamba adui na kikwazo cha mipango mingi ya waislam si mtu mwingine bali ni 'brothers' katika community ya waislam. Huyu Nyang'anyi kama angekuwa mkristu, Mama weeeee! makanisa yote yangechomwa moto magomeni, wakristu wangeitwa kafir na yote mabaya ambayo waislam wa Tanzania wanaamini kama yamefanywa na wakristu yangeletwa juu. Sasa tunataka tuone kama kweil Kichwa cha Nyang'anyi Kitakatwa au kitaachwa sababu si cha kafir! mola endelea kuwaangazia ndugu zetu waislam mpaka siku wajue hasa nani alikuwa adui wa mipango yao ya maendeleo.
ReplyDeleteMichuzi mbona ippmedia inasema hakuondoka mtu jana? we hizo habari umezipata wapi za watu kuondoka? Ebu kama unaweza kurusha tena habari kamili . Pili huyo baba mkwe wa rais alishindwa kuondoka hata na emirates au ndege nyingine yoyote ya maana mpaka asubirie ATC ??? Duh bongo kila mtu kachoka by induction !!!
ReplyDeleteCHA KUJIFUNZA KATIKA SHIDA WALIZOPATA WAISLAMU NI KUWA SHIDA ZOKO POPOTE DUNIANI. MIMI NIMEWASHANGAA WATU WANAOSEMA BONGO SIYO TAMBARARE, KISA KWASABABU WASAFIRI WAMEKWAMA. MBONA KAMA HAPA STATES UKIANGALIA VIPINDI VYA SIKUKUU KAMA KRISMAS, MARTIN LUTHER KING, THANKSGIVING, NK... NDEGE HUKOSEKANA NA ABIRIA WAKAACHWA VIWANJA VYA NDEGE WAKILIA SIKU NZIMA? NA HAWA TUNAWAITA WAMEENDELEA! HAPO UJUE WANAKUWA WALISHALIPA NAULI ZAO, NA MIPANGO YA NDEGE ILIPANGWA MAPEMA KABISA NA HESABU ZAKE. CHA MAANA, NDUGU WATANZANIA, TUSIJIONE KAMA TUKO NYUMA SANA. SHIDA ZIPO POPOTE PALE ILIMRADI PAWE PANAITWA DUNIANI. MBONA SHIDA YA FOLENI IPO MIJI KARIBU YOTE DUNIANI? MBONA OMBAOMBA WAPO MIJI YOTE MIKUBWA DUNIANI? MBONA WATU WANAOUA WENZAO BILA HATIA WAPO KOTE DUNIANI? NITAJIE NCHI AMBAYO HUJAWAHI KUSIKIA MTU KAJINYONGA AU KUJIPIGA RISASI, HASA HIZI KUBWA. MBONA HIZO NDIYO HABARI ZA KILA SIKU. BADO KUNA KIDNAPPING KILA KUNAPOKUCHA. HUWEZI KUMWACHA MTOTO WAKO KULIA UKAGEUKIA KUSHOTO HATA KWA DAKIKA 5, MAANA WATAMWIBA. NI NCHI GANI AMBAYO IMEONYESHA USTAARABU WA JUU HAPA DUIANI? MIMI BINAFSI SIIONI. UKIANZA KUSEMA LABDA WAAFRIKA WANAPIGANA VITA, HAWANA AMANI. MBONA MATAIFA YANAYJIFANYA MABINGWA WA AMANI YANAKWENDA NJE YA NCHI ZAO NA KUUA RAIA WASIO NA HATIA? USAWA UPO KATIKA KU-JUDGE HAPO? BONGO NI BONGO TU,NA STAREHE NI ZA KUMWAGA ILIMRADI UWE NA HELA YA KULA. BONGO KUNA URAFIKI, BONGO KUNA UPENDO, BONGO KUNA NYUSO ZA TABASAMU ZA KUTOKA MOYONI, SIYO ZILE FEKI WANAZOONYESHA WENGINE DUNIANI, KAMA VILE WANAKAGULIWA USAFI WA MENO!!! WANAKENUA MENO KAMA WAMELAZIMISHWA. Aaaaaaaaa!!!!! HUKU TUNATAFUTA, KUSTAREHE BONGO TU.
ReplyDeleteNdugu Michuzi, huku ughaibuni nimejikuta nasononeka siku zote hizi kwa shida kubwa iliyowafika ndugu zetu Waislam hapa uwanja wa ndege Dar. Nimepata faraja kusikia kuwa, hatimaye, wanasafiri. Mungu awabariki katika safari; waende salama, wakatuombee msamaha na baraka za Mwenyezi Mungu, na warudi salama.
ReplyDeleteDoh!! IPP wanasema majamaa wameshushwa kwenye ndege after kusubiri zaidi ya saa kwenye ndege!! Hakuna kibali cha kutua!! Hii bonge la blunder!!! There is no way they can make it now.
ReplyDeleteNdugu haftakuful hebu waambie hao. Yaani nakwambia hili soo lingetokea Rais akiwa Mkristo, au huyo Mustafa angekuwa Mkristo ndugu zetu Waislamu wangechonga ... wangechinga .. wangechinga mpaka ingekuwa balaa.
ReplyDeleteNi muhimu Waislamu mkazane kutafuta Elimu Dunia ili muweze kuchambua mambo katika uhalisia wake na sio kwa uchochezi.
jamani nyinyi ambao sio waislam msitake kuleta dharau zenu.hayo ni mmbo ya kawaida kutokea ndio maana hakuna muislam aliepiga kelele hata uhaibuni pia hutokea vile vile..mambo ya uislam na ukristo yamekuja vipi....mdebwedo nyinyi mnaowasema waislam.na mungu atawaonyesha nyinyi.
ReplyDeleteWewe unaejiita milionea unaonekana umedata acha zako za kuleta kama kusoma usome wewe ili uweze kujua mambo sio tu kuandika mradi ulipii
ReplyDeletekwa kukufahamisha katika sakata hili Nyang'anyi hausiki yeye ni chairman wanaohusika ni operation staff yeye analetewa ripoti tuu
Jamani acheni ubishi wa kitoto. Ughaibuni foleni ya ndege inatokeaga ndio lakini linganisha na ndege mia ngapi zinapaa kwa siku??? Abiria laki ngapi wanasafiri kwa siku????? sasa ughaibuni kungekuwa na kiwanja kama chetu, ndege 5 hazifiki , kungekuwa na foleni?????? Kwani hija si inajulikana toka mwanzo wa mwaka??? watu wenyewe wa atc wanakwambia hiyo ni deal nyie mnabisha. Afu huyo anayekataa ya kwamba waislam hawakulalamika naona hafwatilii kwa makini hii habari. Uliza walioenda airport watakwambia. Bottomline, Uzembe ulifanyika, na Michuzi mwenyewe kasema raisi kasema ataiwajibisha ATC, na pia ATC imeomba msamaha unafikiri wa bure??? Leo hii tunakuja kulinganisha nchi zilizoendelea na sisi , kweli tumechoka. Na kumbe tunakubali kabisa ughaibuni ni pa kutafuta,sasa nani apende bongo kama si pa kutafuta???????? Eti pa kufanya starehe.....utafanaya starehe bila kutafuta ela za kufanyia starehe pale??? Na unasema ughaibuni hakuna urafiki na upendo, hawakujui ndo maana. Wanaojuana wana marafiki,wanaoana na kuoa. We ukiona ughaibuni vipi unazuka bongo tu ndo tutakuelewa,sio unakaa ulaya afu unaponda unasifia bongo...Unajicontradict!!!!!
ReplyDelete