WADAU KUNRADHI. HIVI MTU UKILA BONGE LA MSOSI UNASEMA UMEKULA MAPOCHOPOCHO AMA MACHOPOCHO?

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. Nje ya topic, Michuzi wewe ni mpemba.

    Kunrandhi ndio nini?

    ReplyDelete
  2. Ha ha ha ha ha

    Kama ingekuwa mtihani na anayekuwa wa kwanza kupewa zawadi, nafikiri ningejishindia kiasi cha mboga.

    Ni machopochopo. Nimesikia sasa hivi BBC kuna kungwi wa kiswahili alikuwa ansasambua kiswahili. Kwa mujibu wake, hakuna neno la kiswahili la Mahanjumati. Kaazi kweli kweli. Tunashukuru kwa updates kaka

    Sele

    ReplyDelete
  3. MAPOCHOPOCHOz......

    ReplyDelete
  4. ushasema bonge la msosi

    ReplyDelete
  5. Inategemea unavyojisikia tumboni. Kama utajisikia chopochopo basi ndo hayo umekula kama pochopocho basi tena ndo hivyo.

    ReplyDelete
  6. lakini ukweli ni UBWABWA NA KANDO...yaani chakula halisi cha wabongo...ahh...bila kusahau kambale!!!

    ReplyDelete
  7. Mapochopocho, na kitendo chenyewe ni kupochoa na vile unavyovila ni mipochoo au mapochopocho

    ReplyDelete
  8. Ni MAPOCHOPOCHOzzz bro. michu.hilo neno jengine umelisikia wapi machopochopo ni kuchopa na ni kwa mara moja nahilo ulotumia wewe ni kwa wingi. usithubutu kulitumia mbele za watu unaowaheshimu ukiwa zenjy au pemba hasa ukisema nimemchopa dole loooooh! umeharibu kabisa.

    ReplyDelete
  9. Bora umetumia neno zima mapochopocho ni sahihi.mwanzo uliposema pocho au chopo ningekujibu kitu kchengine kabisaaaa, kwani pocho tulikua tunalitumia shuleni kama neno la uchokozi kwa wale washika mkia darasani, neno jengine na chopo ina maana yake pia.

    mswahili unasemaje hapo?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...