Bwana Hernandez ambaye amefuatana na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje Marco Rodriguez Costa aliwasili nchini jana usiku na kupokelewa na Makamu wa Rais. Katika ziara hiyo ya siku tano anatarajiwa pia kwenda Zanzibar kesho ambako atakaa kwa siku mbili.
Atarejea Dar es Salaam Ijumaa jioni kuendelea na ratiba yake ambapo Jumapili ijayo anatarajiwa kuwa na mazungumzo na Rais Jakaya Kikwete na baadae jioni ataondoka kwenda Ethiopia.


loh...kibonge hicho!hata wakomunisti mavazi kuiga tuuu...bora Castro na kombat suit!!!
ReplyDeleteDah!
ReplyDeleteBODIGADI wake mwanamke!
Kudadadek walaI!
Kwa hiyo anakuwa nae "kila pahala" anapokwenda!
Natamani mie ndo ningekuwa huyo Makamu wa Rais!
Da!Mjomba ngoma ngumu kishenzi, je kama kina Guivala wangekuwa hai leo?
ReplyDelete