rais wa chama cha soka burundi lydia nsekera ameteuliwa leo kuwa mjumbe wa kamati ya utendaji ya cecafa. wengine ni justus mugisha wa uganda na habsdijan saeed wa somalia. mama nsekera ndiye kiongozi wa juu pekee mwanamama katika soka kanda hii ya afrika. kanambia leo baba yake alikuwa kiongozi wa soka kwa muda mrefu huko kwao na yeye ni mpenzi wa soka toka utotoni mwake

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Kweli burundi inakuja juu kimaendeleo...hadi wanawake kwenye soka!!! TZ tukae mkao wa kupigwa bao hapa...

    ReplyDelete
  2. Analipa! Kaolewa?

    ReplyDelete
  3. Kichwa kirefuuuu! Lazima MTUSI huyo!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...