Familia ya Marehemu Mzee Kanyama Chiume inapenda kuwataarifu kwamba misa ya shukurani na kumbukumbu ya mzee wao itafanyika kesho Ijumaa tarehe 7 Desemba saa 9 mchana katika Kanisa la Kilutheri la Azania Front.Mzee Chiume (78) ambaye alifariki huko New York, Marekani tarehe 21 Novemba, alizikwa kwa heshima zote za kiserikali huko Lilongwe, Malawi jumamosi iliyopita Desemba 1.
Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea
Remembrance service
The Chiume family arrived in Dar es salaam, Tanzania on Wednesday December 5th. Remembrance mass and personal reflections will be held this Friday, December 7th, 3:00 pm at Azania Front Lutheran Church.
For more information please contact Eunice Eunice Mongi-Chiume (daughter-in-law) 255-756-140153 or William Mpambika Chiume (son) 011-255-787-118815


Samahani ujumbe huu mahali hapa si kwake, ila ni kumwomba Michuzi amwage nyuzi za huyo mkurugenzi wa wanyama pori aliyebwagwa
ReplyDeletegud
Poleni wafiwa! annoy wa thursday 8:48pm ungemwandikia misupu email kumuuliza hilo sio kuaandika kwenye habari za watu
ReplyDelete