msimu umewadia na karibu tutasherehekea kuzaliwa kwa Masihi na miti hiyo huwa haiongopigi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Hapo ni wapi kaka michuzi pls?

    ReplyDelete
  2. Hapa FoRODhani mazee.....skonga iko opposite apo,mambo ya caritas na nini..mi nilipita apo 96-99....i really miss dis place.Bro michu ebu ingiaga umo ndani FoRONDO utuwekee at least masnepu tujikumbushe mambo ya salamnadazzz.....Mdau GuRba........

    ReplyDelete
  3. Ni kweli Kaka Michuzi, mti huo ukiuona tu na maua yake ujue Xmas imekaribia bila kusahau na wale wadudu wanaoitwa "nyenze", Nimewamiss kweli maana huku ukerewe sijawahi kuwaona.

    ReplyDelete
  4. Nilishasahau huu mti...jamani this is real good. ukitoka tu hivi basi tunajua safari kwa bibi iko njiani....

    Na wanangu nianze kuwafundisha new tradition snow ikianza safari kwa bibi njiani...jamani tuko mbali huku bongo mara moja kila miaka mitatu....na nikikwambia christmass ya mwisho nimekula bongo 98

    ReplyDelete
  5. Haiongopigi ni kiswahili gani?

    ReplyDelete
  6. Eheee Anon December 6, 2007 9:07:00 kwanini miaka tisa yote tisa unashindwa kwenda xmas kwenu umejiwasha sio pole sana basi lakini yote maishaaaa

    ReplyDelete
  7. Heeee hata kiswahili kigumu kumbe kaka yangu naomba kumweleza huyo hapo juu... 9:25 am. Dar mbali sana kama unaishi USA na ukizingatia tena kama una familia.
    Sio rahisi kuwapandisha wote kwenye pipa kila mwaka. Kweli mara ya mwisho nimekula Christmass 1998 lakini mara ya mwisho kuwa Tanzania mimi ni mwaka jana...but not during Christmas time....nadhani umenielewa...
    Kipindi hiki ukiwa kule kunakua na raha fulani na hata mawingu yanakuaga yana rangi tofauti kidogo...but that is according to me....

    ReplyDelete
  8. Heeee hata kiswahili kigumu kumbe kaka yangu naomba kumweleza huyo hapo juu... 9:25 am. Dar mbali sana kama unaishi USA na ukizingatia tena kama una familia.
    Sio rahisi kuwapandisha wote kwenye pipa kila mwaka. Kweli mara ya mwisho nimekula Christmass 1998 lakini mara ya mwisho kuwa Tanzania mimi ni mwaka jana...but not during Christmas time....nadhani umenielewa...
    Kipindi hiki ukiwa kule kunakua na raha fulani na hata mawingu yanakuaga yana rangi tofauti kidogo...but that is according to me....

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...