Wadau,
SisiMizi Tanzania Ltd. kwa kupitia SisiMizi International ya New York, inapenda kuwakaribisha watanzania wanaoishi Marekani kwenye "VideoConference Seminar" itayofanyika Dar-es-Salaam, TZ na Washington, DC -USA sambamba tarehe 14 mwezi huu wa 12, 2007 asubuhi saa 2 mpaka saa 3, WorldBank HQ- Washington, DC.
Viti ni vichache, atakaye wahi ndiye atakayepata nafasi.
Kwa habari zaidi zakuweza kujiandikisha ingia hapa; http://sisimizitz.com/events.html
Wako katika kulisukuma libeneke.
Michael T. Mwakilasa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. We Michuzi wewe, we mkubwa sasa. Sio unakuwa kama hawa waandishi wa kizazi kipya.
    Tupe taarifa kamili na sio nusunusu.
    Marekani wako nyuma kwa masaa 8 ukilinganisha na Tz.
    Sas hiyo saa 2 mpaka 3 ni kwa saa za huku Bongo au Marekani, mbona hujafafanua!?!
    We vipi wewe!?!

    ReplyDelete
  2. Na mimi nauliza semina ya nini?
    Niya lishe bora, ukimwi, online scammers, retirement au...?????Tungeomba maelezo kamili ili niwe na motisha wa kusoma hata hizo link zilizowekwa...

    ReplyDelete
  3. Haya sasa opportunities hizo za kujikwamua kwenye umaskini. Ukijua unataka kufanya nini na hao wakakupa mwanga wa jinsi ya kuexport hizo bidhaa zako naona tutatokal. Mie nafikri wangetangaza kwenye magazeti kuna wakinamama wengi wajasiriamali na bidhaa zao zimekuwa na ubora sasa kuliko mwanzo wanaweza kupata soko huko marekani japo kwa kuanza kidogo kidogo.

    ReplyDelete
  4. someni link mtajua whats all about na time i believe ni New York time (Eastern)

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...