WADAU KUNRADHI. HIVI MTU UKILA BONGE LA MSOSI UNASEMA UMEKULA MAPOCHOPOCHO AMA MACHOPOCHO?
Home
Unlabelled
POCHO AU CHOPO?
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Nje ya topic, Michuzi wewe ni mpemba.
ReplyDeleteKunrandhi ndio nini?
Ha ha ha ha ha
ReplyDeleteKama ingekuwa mtihani na anayekuwa wa kwanza kupewa zawadi, nafikiri ningejishindia kiasi cha mboga.
Ni machopochopo. Nimesikia sasa hivi BBC kuna kungwi wa kiswahili alikuwa ansasambua kiswahili. Kwa mujibu wake, hakuna neno la kiswahili la Mahanjumati. Kaazi kweli kweli. Tunashukuru kwa updates kaka
Sele
MAPOCHOPOCHOz......
ReplyDeleteushasema bonge la msosi
ReplyDeleteInategemea unavyojisikia tumboni. Kama utajisikia chopochopo basi ndo hayo umekula kama pochopocho basi tena ndo hivyo.
ReplyDeletelakini ukweli ni UBWABWA NA KANDO...yaani chakula halisi cha wabongo...ahh...bila kusahau kambale!!!
ReplyDeleteMapochopocho, na kitendo chenyewe ni kupochoa na vile unavyovila ni mipochoo au mapochopocho
ReplyDeleteNi MAPOCHOPOCHOzzz bro. michu.hilo neno jengine umelisikia wapi machopochopo ni kuchopa na ni kwa mara moja nahilo ulotumia wewe ni kwa wingi. usithubutu kulitumia mbele za watu unaowaheshimu ukiwa zenjy au pemba hasa ukisema nimemchopa dole loooooh! umeharibu kabisa.
ReplyDeleteBora umetumia neno zima mapochopocho ni sahihi.mwanzo uliposema pocho au chopo ningekujibu kitu kchengine kabisaaaa, kwani pocho tulikua tunalitumia shuleni kama neno la uchokozi kwa wale washika mkia darasani, neno jengine na chopo ina maana yake pia.
ReplyDeletemswahili unasemaje hapo?