Home
Unlabelled
pongezi kwa tenga
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Pongezi kwa Rais wa Tff chila Tenga kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa shirikisho la Cecafa,tunaamini Tanzania itabadilika kisoka kwa kupitia changamoto la Rais wa Cecafa,tunaomba wadau wote wampe ushirikiano mzuri pamoja na mawozo mazuri jinsi ya kuleta mabadiliko ya soka ya Africa mashariki na katikati,tunaomba Tenga awe muwazi wa kutaka maoni mbali mbali ya wadau wa TZ popote walipo Duniani ili kwapamoja tuwezi kubadilisha sura ya soka ya Africa mashariki iwe na ushindani kama ile ya Africa ya kule juu kichwani na upande wa kushoto mwa Africa hasa pale sehemu ya bega la kushoto pamoja na kifuani mwa Africa ambao wameendelea kisoka,tunamtakia Tenga mafanikio mazuri,kwenu wadau
ReplyDeletehaki ya nani mimi ni nabii, manake ni siku nyingi sasa ninaona mambo yanayokuja mbele..nliona uingereza akitoka Euro, Richard akishinda BBA hata kushindwa kwa Richa kulikua uchi kwangu...na sasa hili la tenga ndo kabisaaaa limenidhirihishia kuwa mi naweza kuwa nabii flani hv...HONGERA TENGA, naiona Tanzania ikienda south kwenye world cup!!!!
ReplyDeleteProf. Pius Yanda wa UDSM
ReplyDeletewaTz wenzetu kuwa mshindi mwenza wa tuzo ya Amani ya Nobel mwaka huu ametoka Tanzania na anaitwa Prof. Pius Yanda wa chuo kikuu cha Dre es Salaam. Hii nondo ni kubwa ila imepita kimya kimya sana jamani. US AlGore amekaribishwa ikulu kwa Bush, tunakumbuka mapokezi wa Prof. Wangare Mathaai Kenya. Tanzania tunawaza nini jamani?,Huyu si Bongo Celebrity pia? Ni wazo tu"
Hivi wewe michuzi
ReplyDeletembona siku hizi umekua mvivu hivyo?
yaani huongezi hata picha na matukio mara kwa mara
umeishiwa nini? picha hizo hizo for the last 24 hrs.
changamka kaka.
mdau canada