Home
Unlabelled
premier
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kwanini hawa wanawake "vingunge" wengine hawavai kama huyu mama Kikwete?
ReplyDeletewanawake vingunge wanajifanya eti wazungu...kwa kweli Mama K ameweke precedent nzuri - "she is truly Tanzanian/african".
ReplyDeleteMichuzi,toa hiyo luhga ya Kirusi kwenye sehemu ya maoni!
ReplyDeleteStaili nzuri! Lakini hicho kitambaa...wakati mwingine, kitenge au khanga, ni lazima kuvaliwa toka begani! Kwa nini wasijifunge kiunoni?
Wabunifu, changanya kidodo staili ya kimono na ile ya akina mama wa Ki-Ganda!
Halafu hizo alizojitandia si kanga tu za kawaida hizo? Nyingine kajifunga kilemba. Amependeza hasa. Lakini siku hizi hata mama Lowassa naye anavaa mavazi ya kiafrika, sijui wa mama wengine mawaziri. Wao ni vioo wakivaa na wamama na wadada zetu wengine nao wataiga watavaa. Huo ndio uzalendo, na kukunwa na uafrika na utanzania wako.
ReplyDeletekwa anonymous wa 5:48:0
ReplyDeletejibu la swali lako ni rahisi sana, mama Kikwete anavaa hivyo kwa vile ni mwalimu aliyesoma zamani na anayefuata maadili ya ualimu. ukiangalia walimu wanaofuata maadili, siku zote wanavaa kwa kujiheshimu sana. hata ukienda UDSM wanafunzi wa kike wanaosomea ualimu utawafahamu haraka sana kutokana na jinsi wananavyovaa tofauti na wengine wengi, japokuwa kuna wachache wanaoshindwa kujiheshimu, lakini wengi wanajitahidi.
for shizzle she looks gorgeous n marvellous.........Mama endelea hivyohivyo!!!!!
ReplyDeletecheers, mama maendeleo here!!!!!!!!
Hehee umenikumbusha Tulivyo kuwa tunangolewa meno chuoni kwa wimbo wa haiba ya ualimu
ReplyDeleteMbona mnataka akina mama wavae ki-afrika na hiyo mizee ya kiafrika mbona imejitwika mi suti kama mizungu myeusi? Na yenyewe ivae kiafrika.
ReplyDeleteSwala siyo mavazi ya heshima peke yake. Hata wazungu pia wanayo mavazi yao ya Heshima. Tunataka yawe ya heshima na pia ya kiafrika.
ReplyDeletehayo mavazi aliyovaa hayafai ktk mazingira ya kazi ambapo inabidi uwe comfortable na flexible.
ReplyDeletekijijini kwetu kinamama wanapokwenda kulima hulazimika kuvaa SURUALI.
SURUALI ndiyo vazi linalofaa kwa wachapa kazi.
she is a 1st lady kwa hiyo she can afford kuvaa vitenge na kanga.
First lady,mama tunakufagilia waaaawaaaa uko vizuri,unajua kuvaa na tunakukaribisha sana London kwani unawakilisha vizuri wamama wa Tz.Viambie hivo vimama vinavyopenda suits hatuvipendi.tunakupenda mama yetu unavaa tunavyopenda.Keep it up,unatuwakilisha vizuri mama.well done mama kikwete.
ReplyDeleteThe mamas we love u throughout ughabuini.tunakupenda sana kwani unavaa kama wamama wa kiafrika asili.Keep it up First Lady Mama Salma Kikwete,u know how to do it it the right way.
ReplyDeletevery inspiring to our mothers manake kuna wa mama wengine pajaz utakuta zote nje huyu mama anajiheshimu sana na ataendelewa kuheshimiwa.represent mama kikwete au vipi
ReplyDeleteInavyoonekana Mama Salma is the real 'PRESIDENT'!!!
ReplyDeleteKatiba inamruhusu first lady ku-assume executive responsibilities?
ReplyDeletewe michuzi acha kutu take for granted,unasema mama anafungua tawi la premier,hiyo 'premier'ndo nini,ni tawi la benki,bima,kijiwe cha paparazi au kitu gani?fafanua mjomba tena haraka kabla hatujakufunga tairi shingoni.
ReplyDeleteNashukuru mtoa maoni mmoja kanifurahisha kajua siri ya mama yetu.kwa sisi walimu TUNAIITA MWALIMU HAIBA.Mama kwenda ikulu bado hajaacha ualimu.watoto wake bado wanamwangalia yeye bado ni kioo tangu zamani hadi leo tungeshangaa mwalimu ambae angebadilika tu kisa kaingia ikulu.Thank you mother UNAWAKILISHA
ReplyDelete