Home
Unlabelled
safu mpya ngwasuma
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hivi bro misupu hapo bongo hakuna wanenguaji mpaka wakaletwe toka Congo?vijana chungu mzima wapo hapo hawana ajira,kazi wanakuja kuchukua wageni,au ngwasuma sio bendi ya watanzania?
ReplyDeleteMbona wachafu hivo?? Anyway nadhani wametoka kwenye shida bado kidogo wataneemeka hpa Bongo.
ReplyDeleteAnon wa kwanza hapo juu unayeuliza kwa nini waagize watu toka Congo unajua kuna cultural differences kati yetu na wakongo na pia uamuzi huu unatokana na Values za aliyeamua. Kama anaona ni vema kuwavuta watu wa kwao na sheria ya Tanzania inamruhusu basi atatimiza kile ambacho kwa mujibu wa values zake anaona ndicho bora.
hao jamaa naungana na wewe ni wachafu kweli hata ngwasuma wenyewe wa zamani ni wachafu pia, watu wanawasifia wanapiga pamba za nguvu lakini jaribu kuwa nao kwa karibu uangalie ngozi za sura zao utasikia msisimko, kwani ngozi zina mabakabaka na harufu ya yale madawa wanayojichubua, mimi ushauri wangu ni kwamba jamaa wanafanya kazi nzuri lakini wangejaribu kuachana na mambo ya kujichuna sura. Wewe subiri baada ya siku chache hao wapya waliokuja utawaona na wenyewe wanang'aa sababu ya hiyo mikorogo yao.
ReplyDeleteHawana kitu hao siku hizi Kaka!
ReplyDeleteAkudo impact pekechapekecha wameshawafunika hao.
Jana nilikuwa Msasani Beach. Panajaza! Halafu kuna VIVAZI hivyo! We acha tu!
Kama una roho ndogo unaweza KUBAKA mtu wangu!
michuzi nakupa assignment kama mwana-habari,kachunguze kama hawa wanenguaji wana vibali vya kufanya kazi au biashara nchini.tusingoje mpaka wakamatwe ndio tujue kuwa walikuwa hawana vibali kama inavyokuwa siku nyingine.katika zile function 8 za media alizotoa bw. Mushi hii inaangukia katika kundi la surveillance
ReplyDeleteHawa lazima wawe wachafu wachafu kwa sababu ndio kwanza wanaingia mjini, kule wanakotoka LUBUMBASHI ni mji mdogo sana kwa hiyo hata exposure hawana, ngoja wakae mjini kidigo uone na wavune pesa zetu watatakata tu
ReplyDeleteWatapendeza tu hapa mjini, subiri majimama ya mjini yawakamate, watu wanafungiwa ndani kutwa nzima, wengine wananunuliwa hata vicorolla full kipupwe, mtawasahau hao muda si mrefu!!!!!
ReplyDeleteHuyo nae kuvaa viatu bendera ya marekani ndio nini sasa,kwani congo haina bendera???? jamani waafrica tupende nchi zetu na bendera zake,mambo ya kutukuza majoka hatutaki.
ReplyDeleteSIO RUKSA KUCHEZA JUKWAANI UNAWEZA ONDOKA BILA "..POCHI.."
ReplyDelete