Home
Unlabelled
shoo ya hisani toronto
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
MICHUZI MBONA HUTOI HABARI ZA ZANZIBAR HEROES HUKO ARUSHA NA BALI UNATOA HABARI ZA TANZANIA BARA TU???
ReplyDeleteTUEKE NA HABARI HIZO PIA... WENGINE NI WAZANZIBARI NA TUNGEPENDA KUSIKIA RESULTS YA MICHEZO HIYO
LEO WANACHEZA NA ETHOPIA
Oyaaa Toronto Association...kwa nini mnaleta/alika fake people kwenye sherehe? Hawa bwana hatuwataki tunataka wanamuziki wa kweli ama bendi za kweli toka Bongo. Toka lini flava ukawa muziki wa kwetu? Mimi siji kwenye huo mchango ila pesa nitatuma. I cannot waste my time kuangalia/kusikiliza wasanii wa Flava.
ReplyDeletetuwekee matokeo ya timu ya zanzibar
ReplyDeleteikiwezekana na timu nyenginezo pia matokeo yao ya michezo ktk challenge tuwekee na siyo kili manjaro pekeyao
nasinzia mi nikikuwaza ohhhhhh.lol jamani nameless ana maneno matamu anyws his music is just fabulouse keep it up babyboy
ReplyDeleteMr Michu Naomba nipatie nafasi please tujadili ISSUE YA MAENDELEO.NAOMBA TUJADILI NI KIWANGO GANI TANZANIA INAAMUA MAMBO YAKE KWA KUZINGATIA UTAFITI?NINA WASIWASI KUWA MAMBO MENGI YANAAMULIWA JUKWAANI.PIA NINA WASIWASI KUWA BODY ZA TAFITI HAZIPATI SUPPORT YA KUTOSHA.JE HAYO MAENDELEO SI KWAMBA TUNAPIGIA NGOMA MAJINI NDUGU WADAU? NINI KIFANYIKE?MAKE KILA MAAMUZI YANAFUATIWA NA LAWAMA WHAT IS WRONG?NAWASILISHA.
ReplyDeletei love his music too, mwaya wana toronto, jitokezeni kwa wingi, ni kitu kikubwa mtu kuacha nchi yake na kuisaidia nchi nyengine, kwani nameless ni mkenya. all the best nameless, u have my support.
ReplyDeletehalafu mnaniudhi nyie watu mnaojitokeza kutaka kujadili mada nyingine kwenye mada tofauti!! hamna subira mkaandika ikapostiwa kwenye page instead of kuchomekea kama huyu hapo juu!! mumepewa chance kukoment juu ya different mada, lakini mnakuwa wabishi kuchomekea za kwenu, fungueni blog zenu basi, yaaannnnnnnnnniiiiiiiiiiiiii
ReplyDeleteNdio hivyo tena kusaidiana, si lazima tusaidiwe na wazungu ndio uwe msaada!Hisani ni popote tu
ReplyDeletewatu wengine wanga nini,hasa wabongo kama wamerogwa vile,mtu anajitolea kufanya shoo ili achangishe pesa kwa ajili ya maendeleo,all you can do is show your support but "NO" it's not the bongo way,the bongoway is to put someone down and some fools from Zanzibar want to talk about football cant you find your own way to contact Mithupu,and another dont want the named artist,cant you people read,it's kwa ujenzi wa shule ya mwanza TZ.Kama huyo nameless kweli katoka Kenya ni tabia ya Wakenya kufanya Harambee watanzania si tabia yetu ila kama Michu alivyosema siku hizi tumejitia tamaduni hiyo ila haiko kwenye damu hata tuvuke maji bado tutakua nazo,mfano ni huu wa hawa wa Toronto.
ReplyDeleteHongera sana kwa Nameless na wengine wote wanaoshirikiana naye ktk swala hili la kuchangia ujenzi wa shule huko Mwanza.Keep it up!!!Tafadhali msikatishwe tamaa na hao waliozidiwa na ubinafsi wakikashifu mpango huu na wala wale wanaoleta mada tofauti na haya ya shule ya Mwanza.
ReplyDeleteSupport tutatoa kwa kitu chenye akili lakini sio tuende kwenye show kuangalia karaoke, we can do that in our spare time at home ili tufurahishe nafsi zetu lakini si kulazimishwa kwenda kutazama wasanii wa michezo ya kuigiza (Bongo fleva).
ReplyDelete