omar mahadhi bin jabir atabakia kuwa mmoja wa makipa bora bongo na afrika kwa jumla. hapa anaokoa hatari langoni pa simba siku walipocheza na yanga neshno. unaweza pia kuona jinsi wachezaji wa enzi hizo walivyokuwa na miili ya kiriadha tofauti na sasa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. Si mchezo babake!! Hata mimi naona jinsi watu wlivyoshiba. Namuona Omary Hussein ""Keegan"" yuko fiti.

    ReplyDelete
  2. sio kushiba tu bali pia wapo serious na kusakata kabumbu
    sio hizo ilikuwa soka la riadha kweli kweli

    ReplyDelete
  3. Goli la Simba hapo linalindwa na Mlinda mlango Bin Jabir,beki mahiri Daudi Salum 'bruce lee',Mohamed Kajole'machela',Mohamed Bakari'tall'Athumani Juma,wengine ni Omar Shaaban Gumbo,George Kulagwa'best',Adam Sabu,Jumanne Hassan'nascimento',Abdallah Kibaden'king pele'Martin Kikwa...bila kuwasahau Aluu Ali'dynamo...Simba dume hao wote

    ReplyDelete
  4. pampula2007@gmail.com
    safi sana wamejazia ila wanaonekana wanalitwanga soka ile mbaya

    ReplyDelete
  5. Kulikuwa hakuna chips mayai enzi hizo. Mambo yote ilikuwa ugali kwa mboga za maana (kisamvu, mabamia, mchicha, mchunga) na nyama, samaki sio sasa chips mayai na soda. Tena ilikuwa marufuku mchezaji kula pilau! Na wachezaji walikuwa na bidii ya mazoezi kweli kweli.

    ReplyDelete
  6. nawaona hapo kutoka kushoto Marehemu Mohamed Kajole(RIP),Daud salum"Bruce Lee",Nicodemus Njohole,Omar Hussein"Keegan",Omar Mahadhi,Ezekiel Greyson "Jujumam" na Mohamed Bakar "Tall",si mchezo timu ilikuwa imekaa vizuri.

    ReplyDelete
  7. Yanga: Khamis Kinye, Lawarence Mwalusako, Ahamed Amasha, Alan Shoamri, Athuman Juma Chama, Juma Mkambi, Omari Hussein, Charles Bonniface "Mkwassa", Isihaka hassan Chuku, na makumbi Juma. Fuull Stop simba akiingia napigwa # wanarudi Msimbazi kwa miguu. Dar Young Africans we got the name, wegot the game!!

    ReplyDelete
  8. hata mimi naona majina kama haya sifikirii kama yatakuwepo tena katika soka hapa bongo best names ever salaam sana kaka omar hussein.

    ReplyDelete
  9. kaka michuzi naomba uniwekee picha ya timu ya malindi ya znz ilipoifunga pamba ya mwanza mwaka 89 kule mwanza ps.

    ReplyDelete
  10. wewe wa 12:49 acha ushabiki wa ushamba...yanga iliwakilishwa na kama Bernard Madale,Ali Selemani'sanga'Hussein Karabi,Mwinda Ramadhani,Shaaban Katwila,Yanga Fadhil Bwanga,Charles Mwanga,Sudi Pipino,Kaburu n.k.
    Simba ilikuwa na nguruma enzi hizo wakati hao kandambili walikuwa na roroma kila mkutano...

    ReplyDelete
  11. ...duh!nakumbuka hii picha iliwahi kuwekwa kwenye gazeti kwenye shindano la kuonyesha mpira upo wapi..long time..
    man lion

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...