Home
Unlabelled
bin jabir
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Si mchezo babake!! Hata mimi naona jinsi watu wlivyoshiba. Namuona Omary Hussein ""Keegan"" yuko fiti.
ReplyDeletesio kushiba tu bali pia wapo serious na kusakata kabumbu
ReplyDeletesio hizo ilikuwa soka la riadha kweli kweli
Goli la Simba hapo linalindwa na Mlinda mlango Bin Jabir,beki mahiri Daudi Salum 'bruce lee',Mohamed Kajole'machela',Mohamed Bakari'tall'Athumani Juma,wengine ni Omar Shaaban Gumbo,George Kulagwa'best',Adam Sabu,Jumanne Hassan'nascimento',Abdallah Kibaden'king pele'Martin Kikwa...bila kuwasahau Aluu Ali'dynamo...Simba dume hao wote
ReplyDeletepampula2007@gmail.com
ReplyDeletesafi sana wamejazia ila wanaonekana wanalitwanga soka ile mbaya
Kulikuwa hakuna chips mayai enzi hizo. Mambo yote ilikuwa ugali kwa mboga za maana (kisamvu, mabamia, mchicha, mchunga) na nyama, samaki sio sasa chips mayai na soda. Tena ilikuwa marufuku mchezaji kula pilau! Na wachezaji walikuwa na bidii ya mazoezi kweli kweli.
ReplyDeletenawaona hapo kutoka kushoto Marehemu Mohamed Kajole(RIP),Daud salum"Bruce Lee",Nicodemus Njohole,Omar Hussein"Keegan",Omar Mahadhi,Ezekiel Greyson "Jujumam" na Mohamed Bakar "Tall",si mchezo timu ilikuwa imekaa vizuri.
ReplyDeleteYanga: Khamis Kinye, Lawarence Mwalusako, Ahamed Amasha, Alan Shoamri, Athuman Juma Chama, Juma Mkambi, Omari Hussein, Charles Bonniface "Mkwassa", Isihaka hassan Chuku, na makumbi Juma. Fuull Stop simba akiingia napigwa # wanarudi Msimbazi kwa miguu. Dar Young Africans we got the name, wegot the game!!
ReplyDeletehata mimi naona majina kama haya sifikirii kama yatakuwepo tena katika soka hapa bongo best names ever salaam sana kaka omar hussein.
ReplyDeletekaka michuzi naomba uniwekee picha ya timu ya malindi ya znz ilipoifunga pamba ya mwanza mwaka 89 kule mwanza ps.
ReplyDeletewewe wa 12:49 acha ushabiki wa ushamba...yanga iliwakilishwa na kama Bernard Madale,Ali Selemani'sanga'Hussein Karabi,Mwinda Ramadhani,Shaaban Katwila,Yanga Fadhil Bwanga,Charles Mwanga,Sudi Pipino,Kaburu n.k.
ReplyDeleteSimba ilikuwa na nguruma enzi hizo wakati hao kandambili walikuwa na roroma kila mkutano...
...duh!nakumbuka hii picha iliwahi kuwekwa kwenye gazeti kwenye shindano la kuonyesha mpira upo wapi..long time..
ReplyDeleteman lion