gordian mapango wa pan african (shoto) hatosahaulika kwa jinsi alivyokuwa ananyanyasa mabeki na krosi za chubwi chubwi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Eh Bwana hapo umetuacha na Chubwi Chubwi!! Tupe ufafanuzi kidogo

    ReplyDelete
  2. kaka michuzi hii inatumbusha enzi zile za mwishoni mwa miaka ya 80, nyota nyekundu, plizina ,ndovu , sigara nk
    tulikuwa tuasikiliza tu redioni lakini tulikuwa tunaenjoy saaaana bravo kaka michuzi

    ReplyDelete
  3. kaka michuzi hii inatumbusha enzi zile za mwishoni mwa miaka ya 80, nyota nyekundu, plizina ,ndovu , sigara nk
    tulikuwa tuasikiliza tu redioni lakini tulikuwa tunaenjoy saaaana bravo kaka michuzi

    ReplyDelete
  4. basi Pan African ya wakati ule ilikuwa chama kubwa kweli kweli maana nawakumbuka kina Juma Pondamali,Peter Tino,Idrissa ngulungu,Ali Katolila,Adolph Richard na wengine kibao lakini wajomba hili chama likiingia na simba au yanga ilikuwa balaa tupu maana nchi nzima siku hiyo ilikuwa inasimama kwa tsunami la hawa jamaa

    ReplyDelete
  5. wee anony hapo juu acha uongo. Idrisa Ngulungu lini kacheza na hao Peter Tino, Abdallah Burhani au Ibrahim Kiswabi?

    Hussein Ngulungu ndiyo, Idrisa Ngulungu hapana.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...