Home
Unlabelled
gordian mapango
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Eh Bwana hapo umetuacha na Chubwi Chubwi!! Tupe ufafanuzi kidogo
ReplyDeletekaka michuzi hii inatumbusha enzi zile za mwishoni mwa miaka ya 80, nyota nyekundu, plizina ,ndovu , sigara nk
ReplyDeletetulikuwa tuasikiliza tu redioni lakini tulikuwa tunaenjoy saaaana bravo kaka michuzi
kaka michuzi hii inatumbusha enzi zile za mwishoni mwa miaka ya 80, nyota nyekundu, plizina ,ndovu , sigara nk
ReplyDeletetulikuwa tuasikiliza tu redioni lakini tulikuwa tunaenjoy saaaana bravo kaka michuzi
basi Pan African ya wakati ule ilikuwa chama kubwa kweli kweli maana nawakumbuka kina Juma Pondamali,Peter Tino,Idrissa ngulungu,Ali Katolila,Adolph Richard na wengine kibao lakini wajomba hili chama likiingia na simba au yanga ilikuwa balaa tupu maana nchi nzima siku hiyo ilikuwa inasimama kwa tsunami la hawa jamaa
ReplyDeletewee anony hapo juu acha uongo. Idrisa Ngulungu lini kacheza na hao Peter Tino, Abdallah Burhani au Ibrahim Kiswabi?
ReplyDeleteHussein Ngulungu ndiyo, Idrisa Ngulungu hapana.