Home
Unlabelled
Msonganzila asimikwa askofu mkuu mpya musoma
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
kazi ya bwanaaa,fanya kwa moyooo bila kushurutishwa wala kubembelezwa jamaniii.
ReplyDeleteMungu akubariki na akuwezeshe ufanye kazi kwa moyo kutunza kondoo wa bwana.
pampula2007@gmail.com
hongera sana Askofu mpya, nakuamini sana mwalimu wangu pale Peramiho. unastahili hiyo ofisi na nina hakika utaiweza, usisahau kuendelea kumwomba Mungu akupe hekima zaidi ili uitende kwa usawa na bila woga. naomba kusasahihisha kwamba ni Askofu na sio Askofu Mkuu, kwani Askofu mkuu anasimamia jimbo kuu, na Musoma sio jimbo kuu, naomba kuwasilisha.
ReplyDeleteHey ISSA MICHUZI,
ReplyDeleteHuyo anonymous aliyesahihisha kuwa umeandika eti huyu ni "ASKOFU MPYA", ameyapata wapi maneno hayo? Mbona mimi siyaoni. Maana wewe MICHUZI umeandika "WAZIRI MKUU" ....... "KANISA KUU". Maneno yote hayo hakuna ulilokosea mwanangu. Mie mkatoliki lakini naona kuna watu wanapokuona wewe Mwislamu wanadhani hujui unachoandika. Hata kusema huyo anonymous kasoma Peramiho mbona haiji? Yeye ndiye kachemka.
Majimbo yoooooooote Tanzania sisiyo na askofu Mkuu wala Jimbo Kuu, yana kanisa Kuu. Kanisa Kuu maana yake pale anapoishi askofu, mosi, au pale makao makuu ya jimbo yalipo, ndipo panakuwa na kanisa Kuu.
MICHUZI, COMMENT YA HUYO MSHIKAJI JIFANYE KAMA HUJAIONA VILE...... WATU WENGINE WANAPENDA TU KUONEKANA WANAJUA MAMBO.
Mdau, States.
mmh..haya angekuwa sheikh mkuu wa kiislamu hapo ungeona ambavyo wangeteta.. lakini hapa mtu hasemi kitu kwa kuwa tayari nchi hii ya kanisa!!!!!!!!!!!!!!!1
ReplyDeleteOMBI LANGU KWA HUYO ASKOFU, NAYE ASIJE AKAFUATA NYAYO ZA MAASKOFU WALIOMTANGULIA KULAANI WAPINZANI WANAPOFICHUA UFISADI, HIVI KARIBUNI KIONGOZI MMOJA WA KANISA ALIJIUA KWA UFISADI BAADA YA MKEWE KUGUNDUA KUWA ANA NYUMBA NDOGO TENA KAIJENGEA NYUMBA HIVYO INAONYESHA JINSI MAFISADI WANAVYOTETEANA KAMA ALIVYOSEMA MHE MGUU KUWA ATAMTETEA BILALI BIN BALAA MAHAKAMANI. SIJUI MAASKOFU WALIOLANI WAPINZANI TENA NDANI YA KANISA TUWAITEJE! WATU WA MUNGU AU WAAJIRIWA WA MUNGU.
ReplyDeletewewe anon jan 21 11.30
ReplyDeleteAcha mambo ya dini ndio maana hata hamendelei, kila kitu angekuwa shehe ............ Mpewe nini ndio muache hayo mambo ya dini, Dini ni imani tu baba