Home
Unlabelled
azimio la arusha
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Azimio hilo la Arusha liliizamisha taifa letu changa ambayo imebarikiwa na utajiri wa mali asili kwenye janga la umasikini na ouvu wa kaimu,azimio hilo lilirudisha nyuma maendeleo ya taifa kwa muda wa zaidi ya miaka hamsini,azimio hilo lilivunja ari na mioyo ya mamilioni ya wazalendo ambao walitiva utumwani kimaisha na kifikra,azimio hilo liliuzima mwanga wa baraka:lakini kila kilichokandamizwa kina mwisho na sasa kurudishwa kwa neema ya uhuru na ustaarabu ni matunda ya uvumilivu...Mwenyezi Mungu (s.w) aibariki nchi yetu na ulimwengu kwa jumla...Ameen!
ReplyDeleteUnanikumbusha noti ya shilingi Kumi.
ReplyDeletelinanikumbusha zile kanga za Azimio la Arusha, unakuta huo mchoro na Maneno "Mahali hapa ndipo palipozaliwa Azimio la Arusha" mwanamama unakuta kaivaa na hayo maandishi yako kwenye wowo, haha, nikajiuliza hilo azimio lilizaliwa kwenye wowowo au ilikuwa na maana gani! hhehehe.
ReplyDeleteukitaja kujua matokeo ya azimio la arusha usiende mbali angalia kaskazini (kenya) dolla moja - shilingi 72.00, bongo dolla molla-shilingi 1,100.00 ukiongeza vurugu zote zilizotokea hivi karibuni labda dolla moja itafika 100.00 ya kenya. sisi tumebakia kumsujudia nyerere na chama chake cha ccm, sijui tutaamka lini?
ReplyDeleteNakumbuka tulikua tunapita hapo kwenda kwenye uwanjani, na pia soko la mjini au kwenda kwenye kituo cha mabasi.
ReplyDeleteI like that town....it is always green
MNARA UNANIKUMBUSHA SHILINGI KUMI YA NOTI YA ZAMANI!!!!
ReplyDeleteTulinyang'anywa TV.
ReplyDeleteTulivuliwa sketi za shule.
Tulipangiwa wakati wa kupanda magari.
Eti sababu "MNAKIUKA AZIMIO LA BLOODLY ARUSHA"
ENZI HIZO MAKATE "..SHILINGI TANO.." MAMA ALIKUWA ANANIPA "..CENTI ISHIRINI.." ZAKUNUNUA VITU WAKATI WA MAPUMZIKO MIE SHULENI NILIKUWA "..TAJIRI.."
ReplyDelete