mnara wa kumbukumbu ya azimio la arusha unakukumbusha nini mdau?

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Azimio hilo la Arusha liliizamisha taifa letu changa ambayo imebarikiwa na utajiri wa mali asili kwenye janga la umasikini na ouvu wa kaimu,azimio hilo lilirudisha nyuma maendeleo ya taifa kwa muda wa zaidi ya miaka hamsini,azimio hilo lilivunja ari na mioyo ya mamilioni ya wazalendo ambao walitiva utumwani kimaisha na kifikra,azimio hilo liliuzima mwanga wa baraka:lakini kila kilichokandamizwa kina mwisho na sasa kurudishwa kwa neema ya uhuru na ustaarabu ni matunda ya uvumilivu...Mwenyezi Mungu (s.w) aibariki nchi yetu na ulimwengu kwa jumla...Ameen!

    ReplyDelete
  2. Unanikumbusha noti ya shilingi Kumi.

    ReplyDelete
  3. linanikumbusha zile kanga za Azimio la Arusha, unakuta huo mchoro na Maneno "Mahali hapa ndipo palipozaliwa Azimio la Arusha" mwanamama unakuta kaivaa na hayo maandishi yako kwenye wowo, haha, nikajiuliza hilo azimio lilizaliwa kwenye wowowo au ilikuwa na maana gani! hhehehe.

    ReplyDelete
  4. ukitaja kujua matokeo ya azimio la arusha usiende mbali angalia kaskazini (kenya) dolla moja - shilingi 72.00, bongo dolla molla-shilingi 1,100.00 ukiongeza vurugu zote zilizotokea hivi karibuni labda dolla moja itafika 100.00 ya kenya. sisi tumebakia kumsujudia nyerere na chama chake cha ccm, sijui tutaamka lini?

    ReplyDelete
  5. Nakumbuka tulikua tunapita hapo kwenda kwenye uwanjani, na pia soko la mjini au kwenda kwenye kituo cha mabasi.

    I like that town....it is always green

    ReplyDelete
  6. MNARA UNANIKUMBUSHA SHILINGI KUMI YA NOTI YA ZAMANI!!!!

    ReplyDelete
  7. Tulinyang'anywa TV.
    Tulivuliwa sketi za shule.
    Tulipangiwa wakati wa kupanda magari.
    Eti sababu "MNAKIUKA AZIMIO LA BLOODLY ARUSHA"

    ReplyDelete
  8. ENZI HIZO MAKATE "..SHILINGI TANO.." MAMA ALIKUWA ANANIPA "..CENTI ISHIRINI.." ZAKUNUNUA VITU WAKATI WA MAPUMZIKO MIE SHULENI NILIKUWA "..TAJIRI.."

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...