Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda akizungumzana balozi wa Uingereza nchini Philip Parham ofisini kwake leo, akiwa ni mmoja kati ya wawakilishi wa kwanza kufanya hivyo toka Mh. Pinda ingie madarakani kiasi cha siku 20 zilizopita

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. HIi picha nimeipenda kwani inaonyesha jinsi wenye tamaduni zao wanavyotofautiana na sisi. Pinda ana peni kwenye suti wakati mwenye tamaduni hana kitu na pia jinsi walivyokaa. mwingine suti bado imefungwa vifungo vyote. Hii ni kali kuliko.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...