hapo ni maeneo ya polisi ufundi
hapa ni maeneo ya mivinjeni
wadau kama mnavyoona muda si mrefu kila barabara iingiayo dar itakuwa na njia mbili na mandhari ya kupendeza. kwa wasiostukia kuingia dar kuna njia mbili unusu; moja kutokea kusini ya lindi na mtwara unapitia hii kilwa rodi na ya kaskazini kutokea mikoani kama mbeya na a-taun ni hiyo juu ya ubungo. nusu ni ile bagamoyo ambayo nayo itakuwa ya njia mbili punde.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Michuzi acha kutuchanganya kwa kurudia neno ''barabara'' mara mbili katika lugha tofauti! Barabara ya Kilwa Rodi! Sasa Rodi maana yake si Barabara! Kwa hiyo kwa usahihi ungesema ni ''Barabara ya Kilwa''

    ReplyDelete
  2. acha ushamba anon hapao juu bado tu hujaijua lugnha ya language ya michu au mgeni humu,kweli mshamba ni mshamba 2

    ReplyDelete
  3. Hii barabara itakuwa ni miongoni mwa barabara kali hapa tanzania.Ngoja iishe watu wote watanyoosha mikono kwa watu wa mbagala

    ReplyDelete
  4. Huyo 'anony' wa kwanza anayeshangaa lugha hiyo hapa kwa Michuzi bila shaka ni "Maggie" wa London, naona anarudi kwa staili nyingine. Msameheni tu wajameni.
    Michuzi usiibanie hii komment.

    ReplyDelete
  5. ee bwanae! tunaiona barabara ya barabara ya kilwa nzuri2 kama mkeka

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...