muonekano wa dar unapoingia kupitia barabara ya kaskazini ya morogoro rodi sehemu za ubungo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. hii picha bomba mkuu wangu cheers na sisi wadau wa mabli tunaweza angalau kujidai na jiji letu , ila tu nimegundua hapa ktk hii picha jinsi watembea kwa miguu wasivyoheshimu alama za vivuko barabarani na hata zile sehemu za watembea kwa miguu walizotengewa pia hawazijali na ndio maana hawishi kugongwa kila siku..............

    ReplyDelete
  2. Jamani panaonekana vurugu na ghasia tu...kila kitu kiholela,vuka nivuke na huyo punda milia mbona haheshimiwi???

    ReplyDelete
  3. Hiyo inayoonekana kwa upande wa nyuma wa ilo gorofa ni smog? Wana mazingira mnasemaje hapa? Mbona hatujasikia mkitoa tamko?

    ReplyDelete
  4. Barabara ni nzuri mie kinachonichafua ni hiyo mitaro pembeni.

    ReplyDelete
  5. we anony 4:00, watu wanatafuta maisha sio ghasia wanarecover hela za epa na rich

    ReplyDelete
  6. michu kumbe bongo wezi ?yale majumba ya watu ya marekani mmeyachukua kiuchawi halafu mnamsema oooooooooh mjomba usama kayapiga kumbe mmeyachukua kimazingaombwe kisha mmeyaweka bongo ! nimewashtukia nyiye

    ReplyDelete
  7. wadau naoma mnisaidie kitu kimoja naomba mnieleze ni maeneo gani ya jiji la Dar yapo magharibi,mashariki,kaskazini-magharibi,kaskazini-mashariki,kusini-mashariki,kusini-magharibi.Najuwa maeneo ya ubungo,kimara,mwenge yapo kaskazini na maeneo ya mbagala,uwanja wa ndege,gongo la mboto yapo kusini.Sijui kama nipo "very sahihi" ama nachanganya.Nasema hivi maana majiji mengi duniani yanatambulika kwa kutumia Dira(West,east,north,south etc)Lakini The great city of ours tupo kivyetu vyetu.Dont gemme wrong I like it.It's unique.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...