wadau, habari za uhakika zinasema kwamba jk atatangaza baraza lake jipya la mawaziri huko dodoma KESHO sio LEO!
hivyo na tukae mkao wa kula. globu yenu hii ya jamii iko nanyi huko makao makuu tayari kuwapakulia vituz vikiwa vikitoka chunguni moja kwa moja kama kawa...stei tyund
Tuko pamoja baba. Hatubanduki hapa!
ReplyDeleteThis is, once again, Chibiriti Bin Chibatari katika pozi la kimtindo!
ReplyDeleteHuwa unaniacha hoi mshikaji! Kwa kweli huko Italy wameingiliwa father...duh
CV zimekuwa nyingi za kuzipitia ili kupata wateule?
ReplyDeleteMhhh, anazidi kuwapa nafasi ya kuendelea kupigana majuju sasa! watauwana wote hao kabla hata hiyo kesho haijafika, haya tunazidi kusubiri tuu, yetu macho na masikio. Michuzi tafadhali iweke hii comment usininyime haki yangu ya uhuru wa kuongea.
ReplyDeletebro michuzi big up sana kwa kutumegea madude yanayoikumba siasa ya bongo live,Ila sasa wasiwasi wangu naomba JKasije akawarudisha baadhi ya mafedhuli mengine atakuwa hajasolve.
ReplyDelete