wadau, habari za uhakika zinasema kwamba jk atatangaza baraza lake jipya la mawaziri huko dodoma KESHO sio LEO!
hivyo na tukae mkao wa kula. globu yenu hii ya jamii iko nanyi huko makao makuu tayari kuwapakulia vituz vikiwa vikitoka chunguni moja kwa moja kama kawa...stei tyund

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Tuko pamoja baba. Hatubanduki hapa!

    ReplyDelete
  2. This is, once again, Chibiriti Bin Chibatari katika pozi la kimtindo!
    Huwa unaniacha hoi mshikaji! Kwa kweli huko Italy wameingiliwa father...duh

    ReplyDelete
  3. CV zimekuwa nyingi za kuzipitia ili kupata wateule?

    ReplyDelete
  4. Mhhh, anazidi kuwapa nafasi ya kuendelea kupigana majuju sasa! watauwana wote hao kabla hata hiyo kesho haijafika, haya tunazidi kusubiri tuu, yetu macho na masikio. Michuzi tafadhali iweke hii comment usininyime haki yangu ya uhuru wa kuongea.

    ReplyDelete
  5. bro michuzi big up sana kwa kutumegea madude yanayoikumba siasa ya bongo live,Ila sasa wasiwasi wangu naomba JKasije akawarudisha baadhi ya mafedhuli mengine atakuwa hajasolve.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...