friji ya mdau ikiwa imesheheni mbege na juu yake kuna menyu ya wiki nzima

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. mwambie aengeze veggies huyo....Mani nini huyo mbege kwenye fridge!!!!!


    Hivi recipe ya mbege niaje...kuna mtu anayo mimi nataka ku tengeneza nina unga wa ulezi

    ReplyDelete
  2. Weekly menu iko very detailed. Lazima ana kitambi huyu jamaa! Mbona hajasema mbege anakunywa siku gani? Achunge sana mbege ina kemikali fulani hivi huwa zinakondesha miguu inakuwa kama spoku za baiskeli!

    ReplyDelete
  3. Kujitafutia shinikizo la damu buree. Fried chicken kibao mara chipsi..Elimu ya chakula bora itolewe bongo. Vyakula vya mafuta ni vibaya jamani

    ReplyDelete
  4. Bwana nani,hebu picha zingine usiwe unaziweka humu, kama siyo huo mwiko, na hayo maelezo hapo chini mi-nlidhani labda ndo-unaelezea mambo ya usafi wa Vyoo majumbani!! maana friji hilo tupu,ndoo za maji tena!!

    Duhh!! Michu wapi hiyo,RiverSide Nini??manake vikao vya harusi za Akina Meeeku kila Kukicha hapo mahala.

    ReplyDelete
  5. Hata mimi nilifikiri ndio zilezile picha zako za vyoo vya uswahilini kumbe friji duu!!!!najiuliza tena mwiko bafuni wa nini.Kwa mpango huu tutakufa na cholera kwa sana tu.

    ReplyDelete
  6. What is this now eh?

    ReplyDelete
  7. AH AH NDOO YA KUOGEA NDANI YA FRIJI! HII KWELI BONGO.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...