rais george w. bush na mai waifu wake laura wakipanda dege lao kuelekea benin jana katika mguu wao wa kwanza wa ziara ya siku 7 ya nchi mbalimbali za afrika ikiwemo bongo


Michu,
Salaam kutoka North Carolina hapaNilikuwa nataka nijumuishe wadau wenzangu na hii tovuti ya Whitehouse kuhusu mtazamo wao kwetu sisi. Somaujionee.
Asante,
Mdau,
North Carolina

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. kama anakuja tanzania inamaanisha anaipenda nchi yetu, na anaona mna amani sio rahisi yeye kuja tu, tumpokee.

    ReplyDelete
  2. Hizo project anazokuja kuzisign ni zipi hizo? isije ikawa ndio mambo yale tunapata asilimia 5 tu ya faida wakati wakijichukulia 95%...

    ReplyDelete
  3. Bush yuko Tanzania pia kuangalia na kutembelea miradi ya wamarekani iliyoko Tanzania.

    Nasubiri kwa hamu siku ile Raisi wa Tanzania atakapotembelea nchi zingine na yeye akatembelee miradi,viwanda au biashara za watanzania wanazozimiliki zilizoko Marekani au nchi zingine badala ya kuishia Maikulu ya nchi za watu na kula pilau kwenye dhifa za kitaifa na kukutana na watanzania kwenye kumbi za ofisi za balozi kwa mazungumzo yasiyo na maana wala yasiyoongeza chochote zaidi ya blabla ya kuelezana umbeya wa mambo yanayoendelea nchini Tanzania ambayo wangeweza kuyajua kwa kusoma magazeti yaliyoko kwenye mitandao au kuwauliza hawara zao kama wanao walioko Tanzania badala ya kumsubiri Raisi awa-brief.

    Koloboi@yahoo.com

    ReplyDelete
  4. mi Naona kwamba mama Laura anazimia sana Tanzania na pia Kikwete alishamkaribisha Bush aje Tanzania mara tu alipopata urais hivyo wakati muafaka wa kuja na kupata publicity na kujenga uhusiano mzuri na Afrika ni kipindi hiki. Mataifa makubwa yanajisikia vibaya kuliignore bara la afrika katika biashara na mahusiano. Hivyo kusema kwamba tunasaidiwa kukabiliana na majanga yetu ya poverty,aids, an malaria ni kujikosha tu. Ni kweli tumepokea misaada tunashukuru lakini tunaomba msitudefine mnavyotaka ninyi. Umaskini na Aids vipo hata huko Ughaibuni na watu wanaunguza nyumba zao za mikopo ili kupoteza deni na benki. uchumi sio mzuri sana kila mahali. Waafrika bado tunasikia the world is flat but we have not seen the equal opportunity being given to us. There is a discrimination of continents and that is the worst enemy. We should all have equal opportunities under the sun since we are on the same planet. Big problem right now is global warming africa is the least affected by global warming.Developed countries are most responsible for global warming. We have not polluted the air, we have not achieved industrialization, and we can not refuse to cooperate to help developed countries. Can developed countries refuse to cooperate with us? Some yes and Some wait until we are in a major crisis. Hey we have no problem we are good people. Thanks Bush for visiting us. Tunajua kuna pressure nyingi za kutaka ukamilishe pepa work ili wakuruhusu kuja Afrika waambie waache hizo sisi ni watu poa njoo anytime ukija mwaka wa kwanza mwaka wa mwisho sawa tu. halitabadilika jambo ukija mwaka wa kwanza wee njoo tembea have fun enjoy Safari,welcome wenye propaganda achana nao wacheke tu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...