BWANA MICHUZI
Kwanza ahsante sana kwa kuniunganisha na wadau huko Tz ambao kwa wingi wamejitokeza kwa nia ya urafiki na shule yetu hapa Leicester.
La pili ni kuitikia ombi lako tu:
BWAWA LA MAINI 2
INTER MILAN 0
Kwa dakika zaidi ya 70 Inter walicheza 10, materrazi kadi nyekundu.
sijui ndio mipango ya mcheza kwao hiyo?
Ahsante sana
Mdau, leicester
KHAMIS SAHAL

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. ALAFU WEWE BROTHER MICHUZI AKA MDAU NAMBA UNO... UNAPENDA SAANA MAREHEMU BWAWA LA MAINI... NADHANI WEWE NI LUNYASI ORIGINALE.
    POLE SAANA ............ UTAUMIA SAANA NA HUO UPENZI WAKO WA VYEKUNDU.

    ReplyDelete
  2. Sasa kule lesesta shughuli gani yakhe?

    ReplyDelete
  3. Yakhe,kule lesisesta shughuli gani?nasikia wakati wakosovo wanasafisha magari na kujipatia rizki ya halali,wabongo ndio hivyo...wizi,uporaji n.k.,mie sijafika kule lakini naambiwa tu na jamaa...je kweli?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...