Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 17 mpaka sasa

  1. Mzee mbona umechemsha hapo kwa KP.. inaonekana ni inside out duh!

    ReplyDelete
  2. Misupu weka hiyo picha vizuri....imegeuzwa

    ReplyDelete
  3. Kaka Misupu
    Mbona Mheshimiwa Lowassa haonekani siku hizi? Hakuonekana hata kwenye ujio wa Bush. Tungependa sana kama ungetuletea snap zake za siku hizi. Tunajua wewe ni mkali kwa hiyo utazipata hizo picha fasta fasta..

    ReplyDelete
  4. sasa twende kazini.

    Tuonyeshe mzee Pinda kama hukuchaguliwa kwa bahati mbaya ni kwa makusudi mazimaaaaaa

    ReplyDelete
  5. Eeeeeeeeeh Bwana eeeeeeeeeeeeeeh
    Unaambiwa hapo ka SMILE maanake.Tabasamu la Pozi.Kapeta mwanangu uPM sio mchezo.Watu wanasota na Madigrii Chuo Kikuu lakini wanaishia kuwa Desk Officers au Registry Clerks!Kudadadadadadddddaaaadeki!

    ReplyDelete
  6. WEWE MASOUD OMBA MSAMAHA KWANZA USIJIFANYE KUMSIFIA ULIYEMKANDIA!
    KATUNI ZAKO SASA TUNAZIANGALIA KWA KUZIHUSISHA NA TABIA YAKO!

    ReplyDelete
  7. mmmmh!kaka michuzi,masudi kaanzisha nenoooo,subiri comment za waosha vinywa!yangu macho..!

    ReplyDelete
  8. Hahahahahaha, Kp u r soo talented.

    ReplyDelete
  9. We anony wa 5:48 tafadhali ondoa chuli zako kwa KP na dada yako.Na kwanza si lazima mweke katuni zake katika blog ya dada yako.Mwacheni aendelee kuwa kioo cha jamii.Najua Michuzi ni mdau mkubwa wa dada yako lakini haiingii akilini kumkandia Masoud.Keep it up KP.Senyandumi

    ReplyDelete
  10. MTUELEZE KWA KINAGAUBAGA YALIYOIKUMBA JF.THIS TIME TUNAKULA SAHANI MOJA NA MAFISADI.NO TIME TO WASTE.NA JK KAMA HAWEZI AACHIE NCHI.ASITUCHEZEE AKILI ZETU.

    ReplyDelete
  11. KP, you are great, Great talent. Big up brother. Wanaokandia hawajui art na hawajui kusoma between the lines au pia ni MAFISADI wetu. ENDELEZAAA hakuna kusimama.

    ReplyDelete
  12. Anony wa 6:58 usilete pumba.

    Haka ka bwana mdogo ka Masoud kalichapia kanahitaji kuomba msamaha lakini kabishi kama kakinga na shule yake ndogo.
    Binafsi naburuduka sana na KATUNI ZA FEDE KATIKA(http://www.artsfede.blogspot.com/)

    MAANA ZIMEENDA SHULE NA PIA YEYE HANA MAJIGAMBO!

    AJIKWAYE ATASHUSHWA!

    ReplyDelete
  13. Michuzi, leo umebandika Reverse Bromide.

    ReplyDelete
  14. tete he....tete he!!
    nimekukubali KP,nahodha kaingia kazini,wazamiaji tafuteni pa kutokea!

    ReplyDelete
  15. "Na hivi nimelamba dume sitaki kuipoteza hii nafasi".

    kwa sana kp.

    ReplyDelete
  16. TUNAOMBA PICHA YA KP AKIWA KAJICHORA MWENYEWE

    ReplyDelete
  17. TUMEKUJUA UNAYEANDIKA KUMKANDIA KP NI WEWE ULIYEACHWA, ULIYEKUWA 1ST LADY WAKE, UTALIJUA JIJI NA MATAA YAKE BABU, SALMA NDO KESHASHIKA NAFASI, ANAPETA MTOTO WA WATU, KALELEWA MALEZI BORA, ANAJUA KUMLEA MUMEWE, NA ALIVYO BOMBA NDO KABISA, ANAJUA KUJISHUGHULISHA, KWA HIYO WEE BWABWAJA TU NA USIKU ULALE..NA HAO WADOGO ZAKO NDO WANAOKUSAIDI KUANDIKA UPUUZI, RA..FA ACHA USHAMBA!!! DADAKO KESHAACHWA MAMA..UKOME!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...