nimegundua kwamba hapa zenji kuna wadau wengi sana wa bwawa la maini
io

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. wanablogi nisaidieni hii picha ya gani ni mbele au nyuma?

    ReplyDelete
  2. kwani huna macho???ajabu umeshindwa kutofautisha mbele kwa nyuma...labda nikusaidie...nyuma zote zinafanana...lakini mbele???hebu tumia akili!!!

    ReplyDelete
  3. sasa hapo umenisaidia au umenikashif?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...