Home
Unlabelled
waziri ally katoka mbali
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Khaaa!!!Dada kiatu kama kachapia hivi!!!
ReplyDeleteAnony hapo juu, hapana dada kiatu hajachapia. Ameamua kumatchisha na mapambo... angalia kwa umakini picha!
ReplyDeleteDuh!
ReplyDeleteKweli hamna mtu mwembamba duniani.
Bwana Waziri ndo alikuwa mwembamba hivyo!?!
Nakumbuka kile kinanda chake kwenye ule wimbo wa JUWATA- "Nilikupeleka kwa wakwe zaako, ukaonane na ndungu zangu ee! Hata mama yangu......"
hivi huyu wazirisi ndiye baba yake pepe wa luton, kamrembo kadogodogoooooo! kachiwawa. nampenda sana huyu mdada, kama ndio mambo basi nitamalizana na mzee waziri juuu kwa juu.
ReplyDeletewewe anon hapo juu huyo dada viatu amemechisha na mapazia ya steji
ReplyDeletewaziri kalikung'uta organ enzi za msondo katika wimbo ;nasikitika kijana;enzi hizo ukienda msondo wanaume wanataka kuondoka na wewe,mkeo hawamtaki
ReplyDeleteHalafu michu bana wewe siku hizi!! sijawahi sikia lucy star Tanga...au unamanisha Lucky star???Mweh!!
ReplyDeleteMWTYM