mambo kama haya na mengine kibao yanabatikana katika globu mpya (htttp://www.brotherhugo.blogspot.com/) ya mdau deo hugo ambaye kajiunga nasi rasmi. kwa niaba ya wadau wote namkaribisha tuendeleze libeneke na tumpe ushirikiano kikamilifu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. michu unachekesha kumbe kucheka kunasaidia kugain kidogo, michu.

    ReplyDelete
  2. sawa michu tutampa ushirikina wetu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...