Dear Mr.Michuzi,
WATANGAZIE WADAU KWAMBA KUNA NAFASI ZA KAZI CABINCREW EMIRATES AIRLINES.INTERVIEW(WASAILI TOKA DUBAI)TAREHE 1 MACHI 2008 KILIMANJARO KEMPISKI SAA 3ASUBUHI.
WAOMBAJI UMRI 18-27 HARAKA SANA SANA WATUME CVZAO KWA DOUGLAS TEL:0713171776 WAKIAMBATANISHA NA PICHA MOJA KAMILI NA MOJA PASSPORT SIZE.
MWISHO WAKUPOKEA CV NI JUMATATU TAREHE 25 FEBRUARI 2008.
Mdau mkereketwa
Bro Michuzi, huyo mdau tunampongeza kwa kuwa na moyo wa kusaidia. Kinachokosekana hapo ni anuwani kamili ya huko inakotakiwa CV ifike, mimi sifikiri kama CV unaweza kutuma kwenye simu ya mkononi na hata kama hiyo teknolojia ipo wengi wetu sio muafaka. Pia sidhani kama itakuwa sahihi kumpigia mtu simu yake ya mkononi kumuomba anuwani ya wapi pa kuifikisha CV. Kifupi ni kwamba tunaomba tuwekee anuwani kamili ya pa kufikisha hizo CV
ReplyDeleteINGAWA KILA TAASISI INA TARATIBU TOFAUTI KATIKA NAMNA YA KUZIBA MAPENGO YA NAFASI WAZI ZA KAZI, BADO KUNA KANUNI ZA JUMLA ZA KIMENEJIMENT ZINAZOONGOZA.
ReplyDeleteNASHAURI MDAU ALIYELETA TANGAZO HILI ALIANGALIE TENA KWA MAKINI NA KUFANYA MAREKEBISHO YANAYOPASWA.
VINGINEVYO SUALA LA KUTOA NAMBA YA SIMU NA JINA LA MTU (BILA HATA KUELEZA HUYO DOUGLAS NI NANI KATIKA EMIRATES AIRLINES AU KATIKA UWAKALA WA AJIRA (RECRUITMENT AGENCY)ILI WATU WATUME CV NA PICHA ZAO HARAKA HARAKA INAWEZA KUSHUKIWA KUWA NI UTAPELI AU UCHECHOZI WA RUSHWA KATIKA KUSAKA NAFASI HIZO WAKATI AMBAPO HUENDA SI HIVYO.
KAKA MICHUZI NASHAURI TANGAZO KAMILI KAMA LILIVYOTOLEWA NA EA LIKIWA NA ANUANI KAMILI LITOLEWE.
Hebu acha utapeli yakhe...nani kakupa 'authority'...wacha kuchezea na jazba zetu!!!
ReplyDeleteage discrimination zitaisha lini huko ? Ndio maana watu hawataki kuachia kazi hata kama wanateska vipi kwa vile anajua kila kona hawatamkubali. Huku CV yako mkononi ni kushuffle tu and the more the experience the better the game .....nawaonea huruma sana...Ndio maana kila siku watu huko I am 25 yrs old again....jitu zee miaka 25 kila siku...
ReplyDeletejamani mbona hiyo no ya douglas haipokelewi au ni usanii mtatufanyia????.....watu tunashida ya kazi jamani tunaomba contact kamili kama ili tujue pa kupeleka barua kujaribu bahati zetu....
ReplyDeleteAsante kwa ujumbe MDAU
KAMA UNATAKA KAZI EMIRATES NENDA KWENYE TOVUTI YAO RASMI (OFFICIAL WEBSITE) KUNA SEHEMU YA MAOMBI YA KAZI NA TAARIFA NYINGINE MUHIMU ZINAZOELEKEZA JINSI YA KUOMBA KAZI HIZO. HAKUNA USIRI WALA KUMJUA MTU KAMA KZAI IPO NA SIFA UNAZO EMIRATES WILL TAKE YOU.
ReplyDeleteNA SIYO EMIRATES PEKEE, TAFUTENI NA MTEMBELEE WEBSITE ZINGINE PIA KAZI ZIPO.