Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Fedha Duniani (IMF), Kanda ya Afrika , Bw. Peter Gakunu, ofisini kwake jijini Dar es salaam leo
Waziri Mkuu, MIzengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na ujumbe wa Wakurugenzi kutoka Shirika la Fedha Duniani (IMF) baada ya kuzungumza nao, ofisini kwake jijini Dar es salaam leo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Wadau nisaidieni kanuni za lugha.

    Ukisema X kakutana na Y ofisini kwake maana yake ni ofisi ya nani? X ama Y?

    Haiwezekani ndani ya hilo kasha kuna $$$$ za mmiliki wa Richmond?!!

    Hivi Baraza la Mawaziri likib=vunjwa Waziri anayo haki ya kwenda ofisini kuchukua 'bahasha' zake alizoziacha?!!

    ReplyDelete
  2. HAWA IMF KILA WALICHOFANYA DUNIA YA TATU IMEKUWA MADHARA KULIKO FAIDA...HATUWATAKI!

    ReplyDelete
  3. Ha ha haaa ZE BEASTY BWANA...

    ReplyDelete
  4. anony wa kwanza soma kichwa cha habari utapata jibu

    ReplyDelete
  5. Duu waziri mkuu keshaanza kungaaa!!uso umekwivaa mara hii....safi sana

    ReplyDelete
  6. WELCOME IMF!!!watatufundisha a thing or two in how to manage economy!ASIYEFUNZWA NA MAMAYE HUFUNZWA NA DUNIA!!!

    ReplyDelete
  7. Mzee Pinda
    hao watu IMF !chunga sana uskibali
    hata kidogo kusaini nao mkataba wa
    aina yoyote hile....vinginevyo baba
    utatutosa katika madeni yasiyokwisha

    ReplyDelete
  8. PINDA WAAMBIE IMF WAENDE SWEDEN WAKATOE MISAADA/ TECHNICAL ASSISTANCE HUKO, SISI TUMESHAWACHOKA!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...