Mratibu wa onesho la mavazi litakalofanyika siku ya wanawake dunianimachi 8 kwenye ukumbi wa hoteli ya movevienpick litakaloitwa FastiveCollection, Asmah Makau (kulia), akiwa na mbunifu wa mitindo Fatma Amour wakionesha baadhi ya mavazi yatakayokuwepo siku hiyo.Kiingilio kitakuwa ni sh 20000/=/tiketi zinapatikana movienpick, shoppers plaza, hoteli ya seacliff, mgahawa wa Best Bite, Jmall-Fomozo, Mlimani City na Famour Design Kinondoni karibu na sheli ya Bonjour


kweli hiyo znz mpaka bongo tulikuwa wote bro sauti za busara kweli dada yetu ni designer mzuri ila na mashaka na wewe bro michuz maana umeshikia sana bango mtoto kaumbika huyo sijui kaubwa jumapili
ReplyDeleteMichuzi kwa promoshani tu, bingwa!!
ReplyDeletesawa mi yangu macho tu.
Huyo ni Fatma Makau wa Gazeti fulani la kila siku la kiswahili Tanzania au nimesoma vibaya????Ni mjamzito?,fuatilia Michuzi
ReplyDeleteHuyo Asmah alikuwa na Red eyes ungonjwa wa watani wa jadi
ReplyDeleteHuyo dada hiyo miwani mbona mikubwa sana kama fundi welding!
ReplyDeletekaka michu, mpe salamu zangu za dhati fatma, siku hiyo mi ntaenda kumuangalia yeye sio mavazi yake.... teh teh teh najua hii huitoi.
ReplyDelete