jk akiwa na makamu wa rais d. ali mohamed shein na waziri mkuu mh. mizengo pinda pamoja na baraza jipya la mawaziri baada ya kuliapisha leo ikulu ndogo ya chamwino, dodoma

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Laiti kungekuwa na kifaa cha kupimia mawazo ya hao walio na JK katika picha, tungeona wawazavyo juu ya ufisadi

    ReplyDelete
  2. How come kuna wanawake 6 tu kati ya karibia mawaziri 30
    huo ni ubaguzi wa kijinsia
    wewe JK wewe dawa yako iko jikoni
    hujui wanawake ndiyo wengi Tanzania na ndiyo waliojaza kura kukuchagua

    mwanadada mkereketwa

    ReplyDelete
  3. AMINIA KIKWETEEEE.

    HINYA HINYA. MWENDO NI HUO HUO TUU.

    MUNGU MBARIKI KIKWETE.

    MUNGU BARIKI TANZANIA

    ReplyDelete
  4. JK naona kama hana furaha hapo,nafikiri ana wasiwasi hata hawa watamwangusha tuu,kweli JK ni Raisi mzuri na hana makuu lakini yuko soft sana lakini ni nature ya waswahili,nina uhakika hata michuzi ni hivyo hivyo hawezi kumwadhibu mtu kwa sababu ya kuogopa huruma au yeye mwenyewe atajisikia vibaya,ila sisi wabeba box tumejifunza hakuna mchezo na ukitibua tuu lazima tukufanyie kweli na ngoja nimalize shule nirudi halafu wala vumbi mlete michezo maana nitawashindilia mpaka mtie akili..huku hapendwi mtu ila kazi yako tuu na juhudi zako na adabu ya kazi..lakini namsifu JK ana nia nzuri na anajitahidi ila haitoshi,kitu kimoja JK naomba ujaribu kusukuma kila kitu serikalini kiwe electronics(IT) na tusahau file

    ReplyDelete
  5. Huyo mke wa Spika kashindwa wizara ya elimu sasa naona mumewe kaomba awekwe wanawake,jinsia na watoto ataweza????Maana haki za wanawake si kukubaki mwanaume kuwa na wake wengi.

    Hapo hataweza kabisa.Maana ""nyota njema huonekana asubuhi""Tuone kama atatetea hizo haki.

    ReplyDelete
  6. HII PICHA MUHIMU KAMA HII INATAKIWA IPIGWE WAKATI WA MBELE WAMEKAA KWENYE VITI AU WAKATI WENGINE WAMESIMAMA NYUMA KWENYE NGAZI KWA MFUATANO ILI TUWEZE KUWAOMNA WOTE.MICHUZI NAFIKIRI HII NI KAZI YA MCHEPUO WAKO UKIPATA NAFASI TOA SOMO KWA WADAU WA KIZAZI KIPYA WALIOINGIA KWENYE HII FANI

    ReplyDelete
  7. Bado naona kuna sura za ufisadi zimebaki.
    ONLY TIME WILL TELL!
    ~SM

    ReplyDelete
  8. Hi hao wafisadi wote si waliimba kaburu matata hia kwenye mchakamchaka? basi na sisi na tuwarukie ...hehee ... JK fanya kweli kama hawaendi gerezani hao jamaa ... basi hujafanya kitu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...