MH. NAZIR KARAMAGI AMEMALIZA KUJIELEZA NA AMELIAMBIA BUNGE KWAMBA NA YEYE LEO ASUBUHI AMEPELEKA BARUA KWA JK KUOMBA KUJIUZURU WADHIFA WAKE WA UWAZIRI WA NISHATI NA MADINI. YEYE PIA AMEJITETEA KWAMBA HANA HATIA KATIKA SAKATA HILI

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 19 mpaka sasa

  1. swali jamani, kama hawana hatia, kwanini wanajiuzulu? hawaoni kama ni hatua zinazopingana?!..yaani contradictory?

    ReplyDelete
  2. raha utam raha utaaaaam raha.....mambo yetu ni yale yaleeeee......kalamavi nae kastep down, michu tunataka list ikamilike then tuwapeleke mahakamani, tunataka warudishe vyote walivyoiba kudadadekkk

    ReplyDelete
  3. na bado. wanafanya miubazilifu alafu wana ng'ang'ania madaraka wanazani nchi ya kwao! kudadadeki lazima wang'oke wote kumpunguzia kazi kikwete ya kuwawajibisha

    ReplyDelete
  4. safi hiyo, huyu Karamagi kinachomtoa sio hiyo ya Richimonduli peke yake, ana kashfa nyingi sana za ufisadi, kumbuka Buzwagi na kadhalika, tena alipaswa kuwa ameshaachia ngazi sio leo, mimi nashangaa alikuwa anasubiri nini mpaka leo. du afadhari sura ninazozichukia zinaanza kupungua katika baraza la mawaziri, maana ukimuangalia Karamagi na sekta ya madini na umeme, mara moja hasira zinakuja, jamani hawa watu sio tu kujiuzuru pia wafikishwe kunako sheria na isipofanyika hivyo si tunao mtaani, tutawafanyia kama tunavyowafanyia vibaka wanaotuibia visimu vyetu au tukishindwa basi tutawabenea!! ale kona, na namsubiri huko Msabaha na hao wengine! yaani leo ni siku njema sana du!! kudadadeki!!

    ReplyDelete
  5. kaka michuzi,hakuna dhambi mbaya kama ya dhuruma,tena mtu mwenyewe unayemdhurumu akiwa maskini kwani kila siku yeye atakuwa anamshtakia mungu!
    suala la hao jamaa kujiuzuru ni sawasawa,wamefanya sana ufisadi,wamewabebesha sana mzigo walalahoi hivyo lazima waadhibiwe na wafilisiwe
    kwa wenye kumbukumbu watakumbuka lowassa alivyokuwa waziri wa ardhi kwa jinsi alivyolishughulikia mgogoro wa ardhi kati ya nursery ya wahindi na CMC,kwenye ule mgogoro lowasa alikuwa upande wa CMC na hakuna ubishi kuwa lowassa aliongwa gari jipya aina ya discovery,wafanyakazi wote wa idara ya ufundi waliokuwepo kipindi kile wanaelewa hilo lakini kwa kuwa tz ni nchi ya kujichotea hakuna anayeweza kumpigia kelele mwenzie!

    ReplyDelete
  6. kaka michuzi,hakuna dhambi mbaya kama ya dhuruma,tena mtu mwenyewe unayemdhurumu akiwa maskini kwani kila siku yeye atakuwa anamshtakia mungu!
    suala la hao jamaa kujiuzuru ni sawasawa,wamefanya sana ufisadi,wamewabebesha sana mzigo walalahoi hivyo lazima waadhibiwe na wafilisiwe
    kwa wenye kumbukumbu watakumbuka lowassa alivyokuwa waziri wa ardhi kwa jinsi alivyolishughulikia mgogoro wa ardhi kati ya nursery ya wahindi na CMC,kwenye ule mgogoro lowasa alikuwa upande wa CMC na hakuna ubishi kuwa lowassa aliongwa gari jipya aina ya discovery,wafanyakazi wote wa idara ya ufundi waliokuwepo kipindi kile wanaelewa hilo lakini kwa kuwa tz ni nchi ya kujichotea hakuna anayeweza kumpigia kelele mwenzie!

    ReplyDelete
  7. kwi...kwi.....kwi..CCM oyeeee!!! yani naona huko bungeni leo watu wanacheza MUGONGO MUGONGO.....na bado!!!!Mwalimu huko aliko amekaa chini anawaangalia mmoja mmoja anaweweseka!!!!raha tupu

    ReplyDelete
  8. Hiyo ni sehemu ndogo sana katika huu mchakato mzima wa uwajibikaji.Je, wewe na kaka yake Lowasa mnafikiria pia kujiudhuru nafasi zenu za ubunge ? Nadhani kwa kufanya hivyo mtakuwa mnnatupunguzia mzigo mkubwa sana wananchi.Maana hata huko kwenye ubunge tuna mashaka kama mtakuwa competent enough kutuwakilisha bila kujali zaidi maslahi yenu au kupotoka kimaadili.
    Sasa inakuwaje wale wa kwenye lile kundi la kujipendekeza liitwalo TAKUKURU, before that TAKURU ?Na sasa wapo tena kwenye kuchunguza wahalifu wa BOT ?
    Kama wenyewe ni washukiwa,huko watatetea maslahi ya Taifa kweli ? Tunataka kuona na wao wanawapisha wengine,nadhani hapa ni Polisi ndiyo wamebaki ? Mkurugenzi wake hatuna imani naye kama kweli atafanya kazi ya umma.
    Na vipi kuhusu yule kilaza wetu mkubwa kabisa wa sheria ?Naye haoni ni wakati wa kuomba msaada kwenye tuta ? Sasa inapofikia kuwa kila mahali hali siyo nzuri,ujue uongozi wetu uko kwenye serious trouble.
    JK baba,ama ukubali kulivunja baraza,kama sivyo usishangae likikuvunjikia.Na tena kwa kukudokeza,naona sasa limeshaanza kufanya hivyo.Watch out,the house is about to come down with a big bang !!

    ReplyDelete
  9. Duuhh hi kali, mimi naamini kuwa hakuna atayekubali kuhusika moja kwa moja na Richmonduli, ila Tanzania tumefika mahali tuseme baasiii inatosha kwa hawa viongozi wanafki. by the way luku ya elfu 15 ilinitosha kwa mwezi, sasa inabidi ninunue wa elfu 30, wakati sijaongeza hata pasi ya umeme.

    ReplyDelete
  10. michuzi tunashuru sana kwa kutupatia mambo ya uko bongo,yani leo hapa nimesema sitoki kwenye blog yako mpaka kieleweke kwani bado wengine wengi tu,ilimradi tembo mwenyewe kaanguka na wengine watafuata tu,MUNGU IBARIKI TANZANIA,MUNGU IBALIKI AFRICA,,,,,,

    ReplyDelete
  11. Tukimaliza Richmond ...kifuatacha...ni ze BOT...aaa


    Yaani safari hii panya kastukia paka KIBOGOYO hivyo lazima avalishwe kengere.

    Ene wei..tutafika tu.

    BADO WENGINE mi leo kazi yangu ni kuhesabu atakayekuwa wa tisa KUJIUZURU namptaia zawadi ka vile michu anavyotoa zawadi kwa washindi

    ReplyDelete
  12. Great News!!!!, who's next? Hosea, Mwanyika ama JK?

    Inabidi listi iongezeke. Watu waonyeshe kwamba wanawajibika ipasavyo.

    Thanks Bro Michuzi kwa hili

    ReplyDelete
  13. WAFILISIWE SISI TUNUNUE MALI ZAO HELA ZOTE ZIENDE EITHER KWENYE HOSPITALS AU SHULEE AU LA TUGAIENI MKWANJA WETU WATANZANIA WOTE TULALE MBELE SIO MNAJITAANGA KUJIUZURU KABLA YA KUTUGAIA VYETU HARAKA

    ReplyDelete
  14. I. WAZUSHI EHEE!!!!
    NJOONI HUKU MUONE ILE NDEGE ILIYOKUWA IMEPAA 'CHINI YA USAWA WA BAHARI' SASA IMETUA GHAFLA BILA KUTOA TAIRI KWA KIFUA KAMA STAILI YA BOKILO WA TWANGWA PEPETA!

    II.DU KUNA MTU YEYOTE KAUMIA?

    III. HAKUNA MTU ALIYESALIMIKA MAANA RUBANI MWENYEWE NDIYE ALIANZA KURUKA BILA PARACHUTI

    ReplyDelete
  15. kioo,kioo alikivunja nani....sijui sijui ,,waongo ndio wote....PITENI,PITENI...wamwisho akamatwe,atiwe gerezani..
    kawimbo kaminikumbusha mbali,,kanafaa sana hapa....

    ReplyDelete
  16. HIVI KAKA MICHUZI NITAWEZAJE KUPATA COPY YA EITHER DVD AMA VIDEO ZA HIZO SESSION ZA BUNGENI ESPECIALLY KWENYE HILI SAKATA LA RICHMONDULI MAANA THIS IS HISTORY NA NINGEPENDA KUWA NA COPY KUWEKA HATA KWA MIAKA IJAYO IWE KAMA CHANGAMOTO KWA SISI VIJANA.

    ReplyDelete
  17. Kudadadadeki, yani haya mambo yana kera sana, tunachotaka sisi sasa ni kuona sheria inachukua mkondo wake, hatutaki ubabaishaji, tumechoka!!
    Pia tunataka tuone reaction toka kwa rais, maana haya mambo ni nyeti sana + yale ya BoT, pia tungependa hao wanaoitwa PCB wawajibishwe na kama hiyo kazi hawaiwezi, basi tupo watu wa PCM, tunaweza kusaidia hiyo kazi, maana sie maneno mingi huwa hatuna. Yani haiwezekani, inaonekana hawa jamaa hawako independent, wanafanya kazi kwakuwaangalia wakubwa, yani kwavile ishu inashikiliwa na PM basi wote wananywea.
    Swala la mwisho naomba huyo Sita nae aache hayo mabt yake, eti kwamba Mjadala sasa si Lowassa bali Richmond. Sisi bwana mwendo ni uleule, yaani hafagiliwi mtu, kaaribu basi tunamuaribia. Wito kwa Watanzania: Tuwe kama bahari, yani tusifiche kitu, ukifa tunakuweka juu, ukioza tunakuto nje>
    Mungu Ibariki Tanzania!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  18. Kaka michuzi kweli tunaomba kama unaweza tutafutie video tapes au DVD, yani vyovyote vile ili mambo haya yawe kumbukumbu kwa sisi taifa la leo and kesho, mijadala kama hii ni changamoto kubwa kwetu!!

    ReplyDelete
  19. sawa, hayo yote yanaanza kuonekana sasa. lakini kuna mengi bado yamejificha.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...