Home
Unlabelled
karibu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
SASA NISHAJUA MGAO WA LOWASSA NAWEWE ULIKUWEMO,TUTACHUNGUZA MSHAHARAWAKO NA MATUMIZI NISHAUNDA TUME.
ReplyDeleteMhhhh! kaka sijui shughuli zimezidi....Uwanja wa ndege wa Airport...
ReplyDeletekaka gawa ajira hizo,watu wakusaidiye 'ku-verify' vitu kabla hujavirusha hewani.
Michuzi acha kuleta masihara katika utani mambo gani ya uwanja wa ndege wa eapoti.hahahahahaha.Hata hivyo nimependa creativity yako,bro.
ReplyDeleteJamani mbona hao farasi wamekonda?lazima warudishwe kwenye mazingira yake ya asili kwani hapo hata hayo maji wanakunywa kutoka mtungi wetu wa Kyela!
ReplyDeletefulanazzzzzzzzzzzzzz!!!!!!!! michu ni mie tena..haki vile michu mie nataka nikununulie tshirt mpya hivoo..mana hii kha!!!!!!! au unazo nyingi rangi moja.au ndo mganga kakwambia??
ReplyDeleteMkerwa na fulana ya michu
Anon Monday, February 11, 2008 11:52:00 PM hivi wewe huyo michuzi unayemfundisha Lugha,tatizo nyie wageni mnaoingia kwenye nyumba za watu kwa papara bila kujifunza watu wanavyoishi ndio tatizo hizi ndio lugha za hapa jukwani kwetu
ReplyDeletemichuzi hiyo fulana siku ya nne sasa hujabadilisha!
ReplyDeleteKaka Michuzi
ReplyDeleteKama kawaida katishet nako kalikuwepo.
Ukishakupata msosi kumbe unapewa na kitanda cha kupumzikia hapo hapo.
ReplyDeletebro michuzi kweli nami naungana na wadau wa juu mzee ze fulanaaaaaaaaaaz dah! kaka basi uwe japo na matoleo tofauti ya hizo fulanazz...hii utakuwa hauitendei haki imekuwa kama kauka nikuvae!!
ReplyDeleteWe Michu wewe!!Kwanini unataka uadhibiwe kwa dhambi ndogo jamani?ujue hii fulani unaitenda kinyume na haki za mavazi.Siku ya ngapi leo?hainuki kikwapa jamani?
ReplyDeleteInatosha jamani tafadhali ubadilishe au tukubadilishe jina uitwe wa fulana ya mistari.
fulana yako nasikia ni 'water proof' maana hailowi na in case ukichelewa kuamka yenyewe inakuamsha, na uwezi kuacha kuivaa maana nayo inahitaji kupunga hewa as in kupunga hewa... in short hii fulana ni... subiri kidogo narudi sasahivi!!
ReplyDeleteJAMANI WABONGO TUNA MATATIZO GANI? BRO MICHUZI SIO MJINGA WALA MSHAMBA KIASI HICHO. ANAPOVAA HIYO T-SHIRT KILA MARA, ANAJUA ATAWAKERA WALE MLIO NA ISSUE NA HIYO FULANA YAKE NDIO MAANA ANAWAPA CHA KUSEMA SIO KWAMBA HANA T-SHIRT ZINGINE. NA WALE MNAOJIDAI KUMKOSOA LUGHA YAKE,ANAWAPIMA NYIE MABWEGE MNAOFIKIRIA MNAJUA SANA. TATIZO NI KWAMBA, TUTABAKI TUNAMSAGIA NA VAZI AU LUGHA YAKE LAKINI WALA HANA SHIDA YEYE ANAENDELEA NA MAISHA YAKE. POOR US.
ReplyDeleteAh1 michu unanikumbusha enzi zile mambo ya semedari na besera,hicho kitanda wazee wetu ndo walikua wakilalia na godoro la usumba au usufi,huku mto na huku mto katikati kipepeo cha ukindu kimeandikwa nienzi nikuenzi nikuonyeshe mapenzi, kisha sisi besera na teremka tukaze wale wenzangu wanoyajua mambo ya zao la minazi na matumizi yake wananipata zaidi, ila siku hizi hivyo vitanda vya kitamaduni wameviboresha vinavutia sana
ReplyDeleteNimewapenda hao farasi manyoa yao yanang'aa vizuri,pamoja wanaonekana hawalishwi vizuri.
ReplyDeleteISSA LIKIZO INAENDELEAJE MZEE !!!
ReplyDelete