Home
Unlabelled
kauka haraka
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Michu hapo panaonesha ni indoor hiyo ngoma utakesha nayo,kamunaogopa nj'e wataiiba kwanini usijaribu kuiweka nyuma ya jokofu? futa vumbi kwanza! gudi luki to yu,we all love it mate!...please tujulishe bday ya hiyo ngazingazi mzee tuishangilie!
ReplyDeleteyaani nimecheka kweli, michu sasa unataka kuzidi na hicho kigaga chako yani hapo nakiskia kinanuka jasho
ReplyDeletehapa ndo wadau huwa tunajiuliza, kunani kwenye huo mji tisheti!au ndo unaotuvuta sisi wanawani!maana haiwezekani blog zipo kibao halafu sisi humu humu tu mpaka tunafisadiana kwenye mdau wa MILIONI TATU, kwani wewe uweze una nini hata wengine washindwe wana nini?tutaunda tume tu we ngoja, au tumtume fisadi square aikwapue kama hujachanganyikiwa wewe michu.halafu zenji mwaka mzima?rudi basi utupe picha za mishimooz, maana baada ya mvua kidogo tu dar mashimooz kibao.
ReplyDeletemdau Johns.
kweli Johns, ipo kitu kwenye hii tea-shirt, no porrage shirt
ReplyDeleteMICHUZI UNANIACHAA HOI NA HIYO TSHIRT HAHAHAH
ReplyDeleteYaani sasa ndio naanza kuelewa relationship yako na hiyo "Fulanaz"
ReplyDeleteHiyo picha inaeleza mengi.Very funny! Keep it up Michu we need a little humour in your Blog.
Kweli tumei-miss hicho kiwalo. Ndo maana nimecheki kulia pale juu sijakuonaMichuzi. Kumbe unasubiria ikauke uitundikwe?
ReplyDeleteFanya hima, mambo yawe mswano, na kazi iendeleee
Ze flanaaaaaaaaz!!!!!
ReplyDeleteKumbe haka ka-Tshirt kazuri jamani...sasa hivi ndiyo nakaona kwa karibu!!!. Kumbe ndiyo Maana michuzi anakapenda saaaana. haka bwana Michu ulinunuliwa na Shemejizzzzzzzz..usibishe
ReplyDeleteMi-thupu bwana Baraza ushatangaza sasa mbona huwa-update kuwa cabinet yote ilikuwa inaapishwa leo mchana saa 7 pale chamwino -Dom.Sas hv wenyewe ni full ministers / sub ministers ndo angalau wamepachika tena vibao vya W.......AU NW........Maana after kuvunjwa baraza wote magari yalikuwa yameandikwa STK,pitty wengine walikuwa wanatumia magari ya kazi wameanza kuweka booking Shabiby / Scandinavia after Bunge on friday ili wawahi makwao .
ReplyDeleteCHEO NI DHAMANA KWELI
Unaonaje bro tukikapiga mnada, maana kana sifa sasa. Mimi naanza na € 5!
ReplyDeleteHalafu kwa ndani ameshonea mfuko wa nailoni ili isichakae haraka. Hebu angalia kwenye kola.
ReplyDeleteAnika nje kunguru wa Unguja waondoke nayo halafu tuone itakuwaje utawakimbiza au utafanyaje maana watakapoidondosha panya ataiokota na kuanza kuitafuna. Kaazi kweli kweli!
ReplyDeletehiyo inaitwa kauka nikuvae kwa mjomba kuna ngoma
ReplyDeletewe michuzi tumejua janja yako,,hiyo fulana unataka watu wakuonee huruma wakutumie za ulaya..pole weeee
ReplyDeletemimi ndio niliotoa comment ya kwanza hapo juu,lakini imebidi nirudie tena, kwa kweli nimekazimia ka t-shirt, ukiiangalia kwa wasi wasi utaidharau lakini duu, kweli michu nimeamini ukifika mtumbani usiwe na mapepe tulia kwanza...
ReplyDeleteLMAO..bro michu u know wat??i don't believe kama una t-shirt hiyo moja tu, cause hii inaonyesha kama ni mpya..i think una more than one ndio maana unaweza kuvaa kila siku laa sivyo ingekuwa imeshachoka kufua kila siku hata rang ingekuwa haina..au sio bro nimepatia yess?????????anyway umenifurahisha sana.heart u bro
ReplyDeleteMichu kaka kama vipi toa fotokopi. Uwe nazo mbili. Ha!
ReplyDeleteOndoa hako ka-sempele bwana Michu.
ReplyDeleteBwa' Michu mi nafikiri ze flanaazzzz iz globu limbwatazz. Halafu ze flannaz haichoki kial siku inaoenekama mpya, unazo nyingi au kiini machoz. mi n'na wasiwasi michu
ReplyDeleteBwn kavae hivyo hivyo kakiwa kabichi,, kwani bongo si joto? Katakaukia mwilini!
ReplyDeleteMade in Thailand!!!licha kuwa na pamba ya Mwanza hata shati tumeshindwa kulishona!
ReplyDeleteKamuwa kamuwa usitumie hirizi! hiyo ndio fulana maarufu kwenye blog ya issa michuzi zikifwatiwa na za liverpool 1 away nyeusi 2. ile nyekundu 3. njano watu sasa tunataka kumuona issa michuzi mpira anauweza au enzi zake alikuwa anawekwa golini zamani kama hujui mpira unawekwa golini. nasikia Issa michuzi alikuwa anapiga madochi mipira ya ngozi ya ngombe anaitobowa.
ReplyDeleteUnajua Kaka Misupu Uache Kuleta Kaujanja janja.Haka Kafulana Unakapigia Pigia Debe Ili Uje Ukapigishe Mnada..Tumekustukia Maana Unajua Wadau Watashindana Humu Mpaka Kafike Vidollar Kazaa Uanzishie Michuzimond.Sasa Kaka Mie Nakupa Dollar 50 Mchezo Uishe..Sawa???
ReplyDeleteHUU NI UJUMBE WAKO BINAFSI MR. MICHUZI.........Ukiutoa au usipoutoa i would not mind at all..........Kuhusu hiyu T-shet yako INAYONUKA, nimetoa comment yangu iliyosema...KIKWAPAZZZZZZZ.....naona uliumia sana muheshimiwa na ukaamua kutoitoa.....Lakini huyo mwendawazimu KP katoa CATOON YA KUMKASHIFU WAZIRI MKUU....kwa akili yako ndogo iliyojaa UNAFIKI...umeridhika kabisa kuitandaza kwenye blogu yako...nakwambia hivi....HUNA MANA MWANAHARAMU FISADI KIWEMBE WEWE!!!....najua hutaitoa hii ila MESSAGE SENT.....MWANGA MKUBWA WEWE!!!
ReplyDeletelaki moja kwa mara ya kwanza ya pili na ya tatu tooop, nije kuichukua wapi?although ni limbwataaaaz,la bloguuuuz.
ReplyDeletemdau, Johns.
Anon wa Feb 14, 2008 7:56:00 AM, utakuwa mtoto wa MP au utakuwa umepewa hela ili uandike hii msg, haiwezekani uwe na hasira hivi, aahaaaa nimekumbuka leo VALENTINE, utakuwa umetoswa na demu wako wewe!!..ha ha ha haaaa..maana kweli MR. MP hana mvuto kusema ukweli!!
ReplyDeleteHalafu hata wewe una kikwapa, mana nimefika kwenye msg yako tu nimesikia hiyo harufu..kwikwikwiiiii!!
Kama Michuzi ni mwanga basi na wee mwanga, maana haiwezekani umjue mwanga wakati wee si mwanga, mnakutanaga wote kwenye shughuli za kuwanga ndo mana umemjua..ha ha ha haaaa!!
Happy Valantine MWANGA!!! MNUKA KIKWAPA WEEE...nahisi umelizwa na mpenzio ndo mana una hasira..jitie kisu cha shingo!!
we anon feb 14 7:56 si hasha unatafuna msokoto au umemeza kanda ya matusi, si bure.
ReplyDeletepole bro michu.
hivi, mi nataka kuuliza huyu mwenye mdomo mchafu wa FEB 14,7:56 KISA CHA KUMTUKANA MATUSI MAGUMU Michuzi kiasi hicho kisa ni kubaniwa comments zake au kuna lingine la ziada maana heee!! khaaa!! mpaka maskio na macho yanawasha???
ReplyDeleteTena michu mbanie kwa sana mwanahizaya huyo asie haya
Michu wee vipi huna mshine ya kufua na drier. Jhmna laundry huko Bongo? Sasa acheni majungu nchi bado tuko nyuma mno. Tupige vita umaskini. Michuzi kauka ni kuvae sio mchezo ni uchawi wa kIkwete tunajua upo kazini humu.
ReplyDeleteUmecheliwa wapi? ungeianika kama bendera humu kwenye blog ingeisha kauka zamani! na sasa ni siku ya pili mvua inanyesha sijui itakauka lini!
ReplyDeleteningekuwa mkeo, ningekuwa "vere jelasi" juu ya hiyo T-shirt....lol
ReplyDeleteHuyo anayemtukana Michuzi kuwa ni mwanga na ananuka kikwapa jamani mumsamehe ni mgonjwa huyo. Hapa sitaji ugonjwa wake, haiwezekani mtu mzima mwenye akili zako timamu mahala ambapo watu wanacheka wewe ukalia kwa sauti kubwa na mahala ambapo pana msiba watu wanalia wewe ukacheka kwa sauti kama unaangalia Ze Comedy. Lazima tu kuna skurubu moja imefunguka si bure. Michuzi msamehe ila mshauri aende Mirembe kuna wataalam watamsaidia.
ReplyDelete