mojawapo ya migahawa inayoongoza zenji kwa kutembelewa sana na wageni ni huu wa mercury uliopo forodhani, mkabara na kitivi cha marine cha udsm. mojawapo ya sababu zinazoupa umaarufu mgahwa huu ni kwamba hapo ndipo alipokulia mwanamuziki nyota wa kimataifa freddy mercury ambaye alizaliwa kisiwani humu na kuondoka akiwa na umri wa miaka 8, kabla ya kuondoka kwenda india kusoma na kurejea tena akiwa tineja. baadaye kidogo yeye na familia yake wakahamia ughaibuni ambako ndipo alipoanzisha libeneke la muziki. kwa habari zake zaidi bofya hapa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 16 mpaka sasa

  1. Ningependa kuufagili huu mgahawa wa mshikaji wangu Ismail "simai" Mohamed. Kama ulisoma Ilboru early 1990 jamaa aliskuwa pale na mdogo wake anitwa Alarakia.Huo ndio tunauita ujasirimali.Simai...Kudos

    ReplyDelete
  2. Very interesting story, but why didnt he ever go back to Zanzibar- his town of birth- after becoming successful? Au ndio ubitozi wenyewe huo?

    ReplyDelete
  3. Sahihisho Si kitivi bali "Taasisi ya Sayansi za bahari-Chuo kikuucha Dar es Salaam na kituo bora cha sayansi za bahari kwa afrika mashariki na kati".Keep it up

    ReplyDelete
  4. Mh, Mh huyo Freddy Mercury jina lake maarufu Farouk wa The Queens. kweli alifanza mambo juu ya mambo, hivyo Michu weye ni shabiki wa 'mambo'.

    ReplyDelete
  5. Hebu jamani acheni utundu na kutupa taarifa zisizo kweli kuhusu hilo senge Mercury,ni kweli wazazi wake walikuwa hapo Unguja...soma zaidi :: Early years,
    Freddie Mercury was born in Stone Town on the island of Zanzibar off the coast of East Africa. His parents, Bomi and Jer Bulsara,[a] were both Parsis from the province of Gujarat in India. The family surname is derived from the town of Bulsar (also known as Valsad) in southern Gujarat. As Parsis, the family practiced the Zoroastrian religion. The family had moved to Zanzibar in order for his father to continue his job as a middle-ranking cashier at the British Colonial Office. He had one younger sister, Kashmira.[11]

    Mercury was sent back to India at the age of 8 to attend St. Peter's School, a boarding school for boys at Panchgani near Bombay (now Mumbai). At St. Peter's, he was a bright student who excelled at cricket and field hockey. Being naturally left handed, he was especially adept at boxing, with a strong 'left hook'.

    At school, he formed a popular school band, called The Hectics, for which he played the piano. A friend from the time recalls that he "had an uncanny ability to listen to the radio and replay what he heard on piano."[12] It was also at St. Peter's where he began to call himself "Freddie". Mercury remained in India for most of his childhood, living with his grandmother and aunt. He completed his education in India at St. Mary's (ISC) High School in Mazagon before returning to Zanzibar.

    At the age of 17, Mercury and his family were forced to flee from Zanzibar, due to the 1964 Zanzibar Revolution.[1] The family moved into a small house in Feltham, London. He enrolled at Isleworth Polytechnic (now West Thames College) in West London where he studied art. He ultimately earned a Diploma in Art and Graphic Design at Ealing Art College, later using these skills in order to design the Queen crest. Mercury remained a British citizen for the rest of his life.

    ReplyDelete
  6. Issa Michuzi naona umepiga picha mgaghawa wa jamaa zake Hami Jay! Hami Jay nasikia umewacha kubonyeza nduguzako hawapendi sikuhizi una bofya sio hahaha! www.eastafricantube.com Ze Comedy!

    ReplyDelete
  7. You guys talk of Freddy Mercury as if he's still alive,for the people who don't know who Freddy is will think he's alive and kicking.The story above is exactly how I know it too,but you failed to mention apart from being a good singer,he led a crazy life,gay and contracted HIV and died of AIDS.He had a unique voice though,one of a kind.

    ReplyDelete
  8. Michuzi usibane ukweli kuhusu fredy mercury aka farouk hakuwa mzalendo hata kidogo muulize mzanzibari yeyote atakwambia..
    Alikuwa gay na alikufa na UKIMWI..Usifiche huu ukweli liwe fundisho kwa wengine
    mdau UK

    ReplyDelete
  9. Huyu Freddie Mercury ndio aliyetunga ule mwimbo wa "Zanzibar"?

    So what if he was gay? Grow up, people! Are you God to place judgments on others? Jeeeeeezzzzz!!!

    ReplyDelete
  10. Dunia hii imejengwa na WASENGE na MALAYA. Wewe unayeteta kuwa alikuwa Msenge, je wewe umeifanyia nini Tzania? Je kwa ujinga wetu wa kutotaka kulitumia jina lake kosa ni lake? Unatakata afanye nini Zenji? Si mjenge mnara na nyumba ya makumbusho huko Zenji? Mishoga kibao na wapenzi wa QUEEN watakuja kuhiji. Ikiwezekana wafanye na concert, basi itakuwa kivutio tosha cha watalii. Mwafrica hadi apewe, yeye bichwa kufikiri aka!!

    ReplyDelete
  11. It's true we are not God to place judgement on any one of us,but God gave us brain to differentiate between good and bad & we as Tanzanians should not encourage homosexuality is OK.It's u who should grow and wise up,huna dini nini?usitulete izo mentality zako za kizungu wanaangamia kwa kuenda kinyume na vitabu vya Mungu.Kisa civilisation.Hujapata kusikia kisa cha Mtume Lut au Lot,It's not ok mwanamume kumparamia mwanamume mwenzie na mwanamke kumsugua mwanamke mwenzie.If you dont like to hear the truth go to hell,ama ndio shughuli zako.

    ReplyDelete
  12. NYIE MA ANON WAWILI HAPO JUU MNAOONEKA MNATETEA USENGE,SOMENI HABARI YA JOHN MJEMA,KWA MTOA MAONI ALIYEJIITA GEORGE BAHATI MBAYA MAREHEMU IMESEMEKANA ALIKUA NA MATATIZO YA AKILI HATUFAHAMU TU KAMA ALIPO FIKA KUJIUWA AKIWA NA HAYO MATATIZO AU ALITIBIWA AKAWA MZIMA ILA UGUMU WA MAISHA UMEMSABABISHA AJIUE,KAMA KAJIUWA KWA SABABU YA UGUMU WA MAISHA BASI
    HUKUMU YAKE TUNAIJUA,SASA NA MWENYE KUFA AKIWA NI MSENGE HUKUMU YAKE VILEVILE TUNAIJUA,UKISEMA WASENGE NA MALAYA NDIO WANAJENGA NCHI UNAONA KUA NI JAMBO LA KUJISIFIA NA KULIANIKA,LABDA NDIO SABABU NCHI HAINA BARKA KWA MATENDO MACHAFU.SISI KAMA JAMII TUNATAKIWA TUKEMEE MAMBO YAKI SHENZI SIO TUWATUKUZE KWASABABU WANAJENGA NCHI.

    ReplyDelete
  13. Baniani mbaya lakini kiatu chake dawa.
    Naamini wengi wa hao watalii sio gays lakini wanaushabikia muziki wake.
    Je tunajua viongozi wa nchi wanavyofanya vitandani mwao? tunawajaji watu kutokana na wanavyowatendea wenzao na sio wanafanya nini kitandani mwao.
    Kama nikuchagua kiongozi basi ni bora nichague senge lililo na uchungu wa nchi na kuiongoza vizuri nchi, kuliko libaba linalokwenda na visichana kila kona na kufanya ufisadi kwenye nchi.

    SMZ inajua hasa kwamba huyo jamaa alikua kuchu lakini kwasabau wanajua umuhimu wake hawakuufunga huo mgahawa kwasababu ya jina lake.

    ReplyDelete
  14. Duu leo ndio nimeelewa kwa nini miaka ile ya 1978 shuleni mtu akikuita wewe Farouk nini? unaweza kumtwanga mangumi sikujua kumbe ilitokana na huyu alieyekuwa shoga miaka hiyo!!Wakati huo nilikuwa nafahamu farouk ina maana 'msenge'kumbe ni jina la mtu wa watu...

    ReplyDelete
  15. Acha kutuzuga kuhusu jina la Farouk, miaka hio unayosema wewe huyo jamaaa alikua hajulikani kwamba ni kuchu, na alikua ana wasichana anao... nao.
    labda unaongelea Farouk mwingine lakini sio Freddie.

    ReplyDelete
  16. Ubaya hautakiwi kufimbiwa macho, ushoga hautakiwi kama zilivyo dhambi nyingine, watu wanaowatetea mashoga ingawa wao si mashoga lakini wana akili za kishoga. Kwa nini hawatetei majambazi basi? Msilete mambo ya kimagharibi hapa, ndio maana jamaa maadili yao yamekwisha.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...