ukipita njia ya kuelekea kibosho mapema asubuhi kili utauona tani yako

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Jamani hiyo hadhi ya Afrika mbona kipara!!!theluji pia mmeiba???

    ReplyDelete
  2. Ni kweli Anon wa 9:09P hapo juu, watanzania tusikubali Mt Kilimanjaro (aka "Kilimakwerru" kama wenyeji wake Wachagga wanavyouita kwa kikwao ambayo kwa translation nyepesi ya kiswahili ni "Kilimachetu")uipoteze theluji yake kwa yale yeliyo ndani ya uwezo wetu. Wapo waliojitahiji kama Reginald Mengi wa IPP in late 80's- 90's kwenye zoezi la kupanda miti mkoani humo. Wajasirimali "kibawa" walijicheki na cheques za Mzee Mengi, then wakamuachia ka-uchungu kale mwenyewe kwa sababu zile cheque zilivalishwa "gavana". Naomba zoezi hilo lifufuliwe na Serikali kwa upande wake iimarishe ulinzi "wa maana" (with all due respect kwa "vikosi" vyetu vya wanyapara, tools & gears etc). Serekali ikiamua kulivalia njuga suala la ku-equip hawa Wanyapara wetu, Kilimanjaro na Meru hawatokuwa wanufaika wenyewe, bali mbuga zote tuliziaaminiwa kuziendeleza bure na mwenyezi Mungu, and .......sijui niseme?...vyanzo vyetu vya nishati kama kuachia kiholela tributaries za maji na kuachia tope na maji chururu kuendesha Mtera. Kaka Michu nisamehe, sina hasira, ni penzi la dhati tu mjomba. Naomba nawakilishe. Kaka yenu

    ReplyDelete
  3. Kweli uchagani kuzuri. Nashangaa watu wanastaafu wanaendelea kubana Dar es Salaam. Hali ya hewa huko Moshi na mandhari kwa ujumla inaweza kumfanya mtu akaongeza miaka michache ya kuishi. Siri ni moja. Save for the future. Moshi miundombinu na huduma za kijamii kama hospitali ni bomba sana. I LOVE MOSHI.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...