Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. wala si utani mwanawane.
    Si unakumbuka walivyomtoaga nishai/puta "Mzee Ngunguri" pale kwenye jumba la Ubalozi wa Marekani lililopigwaga Bomu.
    Pamoja na kujieleza kote, hawakujua cha IGP walanini.
    Siku hiyo Matrafiki na Mafisa usalama wala hawana kazi. Watakuwa likizo
    Wanakuja nao wa kwao.
    Nyie subirini tu

    ReplyDelete
  2. Kp kwa kweli leo umechemsha. Unafanya utani, lakini hii ni dharau. Ina maana huyo Bush na hao watu wake hawamfahamu JK?? Na hata kama watamfungia nje, huko ndani mwenyeji wake hayupo, basi wamefuata nini? Kama wanamtambua Balozi wao tu, si angeweza kumuita hata huko kwao badala ya kuja huku.Kwani wamekuja hapa kufanya mkutano wenyewe? Si wangebaki huko basi, ninaamini si kama wamekosa vyumba vya kufanyia mikutano huko kwao.
    Unajua kila siku nabii hathaminiwi kwao. Hebu tuanze kubadilika jamani! Don't ever under-estimate Rais wetu, ni sisi tu hatujui ni kwa kiasi gani huko nje wanamtamani na kumjua. Mcheza kwao hutunzwa, na mkataa asili si jasiri. Kazi kwako. Umekua bwana, acha utoto.
    Mungu ibariki Afrika,
    Mungu ibariki Tanzania.
    Mungu Mbariki Rais wetu.

    ReplyDelete
  3. ooooh boy! this is so fun! hawa jamaa walivyokuwa hawana akili nzuri wanaweza kumtosa kweli bw vasco da gama!

    ReplyDelete
  4. Si uwongo! Bush anakuja na Secret Service wake. Ngojeni simu na talkies za Usalama wa Taifa hazitafanya kazi siku hiyo.

    ReplyDelete
  5. Rais wa Marekani ni raisi wa Dunia.Na ana maadui dunia Zima tofauti na Kikwete ambaye hana maadui hata wa wilaya ya Bagamoyo.

    Ana haki ya kuwa na ulinzi wake wa uhakika usiotegemea umeme wa Tanesco unaokatika katika ambao unaweza ambiwa simu au radio za mawasiliano za maafisa usalama hazifanyi kazi sababu charger imeisha nguvu na hawana pa kucharge kwenye msafara au umeme umekatika kwenye mtambo wa mawasiliano na hivyo mawasiliano kukatika.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...