Home
Unlabelled
kizungumkuti
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Natoka nje ya mada . Samahani Kaka Michuzi naomba utuwekee picha za harusi za GODWIN GONDWE.
ReplyDeletehii njaa wabongo tunayoendekeza itatuua!
ReplyDeletejamaa anatafuta makaratasi siyo!?
si njema kabisaaaaaaaaaaa!! sidhani kama hayo ni mapenzi kiukweli ukweli
ReplyDeleteaka we bwana wewe. Huyo mama mzuri sana jamani! Basi huku Marekani hiyo ndio deal sana tu. Mi nakwambia vijana wa kitanzania ndio tunaowatafuta hao, hayo ndio majiko yetu sasa sisi tena!!!!
ReplyDeleteViwanda vya urafiri au sungura textile jamani mpo jamani... huyo mbilikimo tumsaidie shati!!!
ReplyDeleteukishangaa ya musa utayaona ya firauni, na ukisikia saida anaimba mapenzi kisungusungu mapenzi hayana macho mapeni hayachaguiii mimi ninampendaaa mpenziwanguuuu mapenzi hayana tiba tiba ni yule unaempenda
ReplyDeleteWEWE MWESHIMIWA HAPO JUU ACHA UONGO SI UKO MAJUU NDO MAJIKO YENU ILA SAHIHI UNGESEMA SISI HUKU MAJUU NDIO MAJIKO YA HAYO MAJI MAMA MAANA NINYI NDIO MWAPIKA KUPAKUA NA KUFUA NONIHINO ZAO!!!!! UONGO
ReplyDeleteSISI NDIO TUNA MAJIKO BWANA TEHE!!! TEHE!!! TEHE!!!!
MZEE WA BUNJU
JAMANI HII ZECOMEDY AU?
ReplyDeleteDu! ama kweli mapenzi ni kizungumkuti kama ni ya kweli kutoka moyoni, na kama si yanatokana na njaa njaa zetu.
ReplyDeleteNinakutakia kila la heri mwanewane. We endelea kukandamiza hiyo "Scania"
Yaani utafikiri ile mijimama ya Ilala ni king'asti wake. Mbona hata Bongo hiyo ipo mnashangaa nini? Mama ni African figure ndio maana jamaa kazimia hapo hakuna kizungumkuti wala nini, anatakiwa aje ashindane MISS BANTU huku Bongo.
ReplyDeleteHell! The Guy is enjoying Mwanawane, natamani nipate bahati kama hiyo Hakyanani nitang'ang'ania kinoma.. Michuzi pliiiiiz kama una kontakt za mijimama kama hii naomba nitumie kwenye Email yangu, si unaikumbuka?
ReplyDeletejamani leo nimecheka mno, yaani mastress yangu yote nimeyasahau,,,amakweli njaa itatufikisha pabaya, maana haya makaratasi watu wala hawachagui hawabagui....yoyote atakayekaa sawa tu, huyohuyo,,kunakuwa hakuna wakati wa kuchaguachagua,,anyway, kila mtu anaelewa shida zake binafsi kwa hiyo tusiseme sana, ila du leo nimecheka
ReplyDeleteWenye wivu mjinyonge mie nakula makaratasi yakheeeee! mlango ni mlango kama wa mbele huwezi unaweza kupitia wa nyuma Yakheee! mie Nala makaratasi hapa jumla jumla no kula Rojo tu Mbatata nawacha wale wengine hahahaha. USA! USA! USA!.... wandada juma sadi makame faki chakechake msijali nitawaleta wote nikipata makaratasi.
ReplyDeleteNdo maana msela kakata...kumplease demu kama huyo kitandani ni GYM tosha...kamua babaake..3 in 1 =uroda, makaratasi na mazoezi...Umeshatoka!! HE EH EEHHEH EH
ReplyDeleteDU, HILI MAMA LINAVUTIA KWELI, MIMI NIMELITAMANI, MWANAMKE MZURI HUYU, UKILA UNACHANGUA KILICHONONA!! SIO MAKARATASI WALA NINI, HILI LINAVUTIA.
ReplyDeleteWhich iz Which,
ReplyDeleteNi tuseme Huyo Jamaa ni mbilikimo sanaaaa wakati huyo mama ni Standard
AU
Huyo mama ni XXL na jamaa ndio Standard size?
Kk
Te he te heee, hii inanikumbusha Zena na Pimbi!!!
ReplyDeleteHe heee!!
ReplyDeletekamua baba kamua baba, wenye wivu tuonesheni na nyinyi hao wenu mnaowaringia.
Nakuaminia kichaa wangu, weh nomaaa!!
Hii inanikumbusha Lilian Tairo na Mzaham wa Houston-Texas.
ReplyDeleteJamani tumwonee huruma huyo yakhe...akiwa chini atakandamizwa na huo uzito!!!na akiwa juu ni sawa na kuogelea bahari kasoro maji!!!kazi ngumu either way!
ReplyDeleteKwa wale wanao wajua wamarekani vizuri yawezekana kabisa akawa ni mwanamke kama inavyoonekana lakini usije shangaa vile vile huyo akawa ni mwanaume au ni trasexsual (yaani alikuwa mwanaume amebadili sex)
ReplyDeleteMambo yenyewe kumbe kuringishiana? Ngoja na mie niweke picha yangu na jibabu langu la kizungu halafu nimsikie mtu anamkandya jibabu langu nyooo!
ReplyDeleteEhe lakini si unajua mambo ya hawa watasha, inabidi nimuombe ruhusa kwanza kama 'darling nataka kuweka picha yetu kwenye blogu ili jamaa na marafiki zangu watuone huko nyumbani' hapo naongelea puani! Mwanawane ni muhimu kuomba ruhusa asije akamfungia kaka yangu Michuzi blogu yake bure kwa kutoa picha bila idhini yake.
Sasa kaka na dada zangu subirini nipate ruhusa na nyie muone picha ya shemeji yenu. Tena huu utaratibu ni mzuri na wengine nao walete picha zaa si mnajua salamu/barua/picha ni nusu ya kuonana?
mh wazungu wanakwambia "that's a nigga's lard"
ReplyDeletePoleni we wanaume wa kiswahili kwa kuparamia mafuta, sijui mnafikiria mtaamka wazungu siku moja. Hata hao watoto watakaozaliwa, no matter how white look alike they are, they will always be black, look at Obama.
Mhnhnh! hii balaaaa saana!
ReplyDeleteInamaana nondo si kipimo cha kuwa na mwili mkubwa? Lkn wanasema dont judge a book by looking at it's cover...
ReplyDeleteunajau ukitokea kuwa na marafiki za kizungu ujue wewe, poa, sio kama hauna hauko poa, ila wazungu nao wanasoma sana watu.
ReplyDeleteunajau waafrika tunaproduce hao mixed people, na wazungu so kama mtu anajidai dai sijui mixed, amechannganywa na mwafrika na mzungu, ndio wakawa mixed.
ReplyDeleteDuu kumbe wazalendo muna wivu!!!mjoba ngoma kali anakula kuku zake watu wivu kibaoooo!hamlali?
ReplyDelete