Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 31 mpaka sasa

  1. Brilliant!

    ReplyDelete
  2. Hahahahhaha ha ha ha (Lolrof)very very funny!! Asome pia "22 steps to becoming Prez after Resigning Once" by Ali Hassan Mwinyi, 1st Edition. "The Da Zitto Code to Political Success" by Zitto Kabwe 4th Edition Ha ha ha

    ReplyDelete
  3. ANY ONE CAN HAVE A MAJOR OR SEVERA MINER CRISIS IN OUR OR THEIR LIFE TIME . THE BEST WAY IS TO GO BACK TO LIBRARY AND FIND A LITERATURE THAT CAN HELP YOU TO RISE AGAIN. ALWAYS TIME IS A HEALER. WE WHERE JUST THIRSTY OF SEEING A BIG POTATO FALL APART SO THAT WE CAN CALIBRATE OUR STRENGTH TOWARDS WHAT WE CAN DO , AND WE GOT OUR FIST PRAY. WAMEMWAGA UGALI MZEE HOLD ON USIMWAGE MBOGA

    ReplyDelete
  4. Kwa ile katuni ya beast

    1. Hatunywi Serengeti beer
    2. Hatusikilizi vipindi vyako redioni
    3. Hatukufagilii tena
    4. Tutawaambia watu habari hii hasa wale ambao haijawafikia
    5. Katuni zako hatuzifagilii tena
    6. Hatufiki dukani kwako tena

    ReplyDelete
  5. KP mwambie mwenzie alizushiwa sio yeye alibamba mshiko.Kama anadhani utani mwambie atangaze kuchukua fomu ya urais 2010 aone cha moto!

    ReplyDelete
  6. KP,nakuvulia kofia!elimu yako na maono yako ni ya hali ya juu.Senyandumi

    ReplyDelete
  7. Huyu KP ananifuata mpaka huku Monduli!!!

    ReplyDelete
  8. Wewe anon 6:34,usiseme HATU--Sema wewe mwenyewe humfagilii Kp,na ndio umetia mgomo mwenyewe.Wengine tunamuunga mkono kwa kazi nzuri anayoifanya!!

    ReplyDelete
  9. Michuzi umezidi ulikul aufisadi na huyu baba nini...comments nyingi za huyu baba ubatupia kapuni....I am start to think you are one of them...

    ReplyDelete
  10. oya we kp ni noma!! acha unafiki kwani yeye alikulazimisha kwenda dukani kwake?? aminia mwanangu KP u ar genius according to me Big up mwanewane))

    ReplyDelete
  11. lol......... hii nzuri mzee!!sina mbavu

    ReplyDelete
  12. we anon wa 6:34 usitujumuishe wote na maamuzi yako,wewe unaonekana una matatizo binafsi na kp,mwenzio yuko juu na kuteleza siyo kuanguka keep good work kp.

    ReplyDelete
  13. we anon wa 6:34 usitujumuishe wote na maamuzi yako,wewe unaonekana una matatizo binafsi na kp,mwenzio yuko juu na kuteleza siyo kuanguka keep good work kp.

    ReplyDelete
  14. lol......AWESOME!

    ReplyDelete
  15. WEWE ANONY 6:34 WEWE NINGEKUWA NAKUJUA NINGEKUWA NIMESHAKUFUNGIA HII BLOG USITUME KITU TENA KWANI WEWE KILA SIKU NI WAKULALAMIKA TU WEWE KAMA HUELEWI MAANA YA PICHA ZA kp SI USEME TU USAIDIWE AU UKAE KIMYA?

    SIJUI UKO WAPI WEWE AMBAE KILA SIKU HUEREVUKI, NI WALE WALE MLIOKIMBIA VITABU VYA STORY.

    ReplyDelete
  16. Masoud sasa unatafuta kulogwa au kushushwa mshipa!!!!!!Duh..

    ReplyDelete
  17. Jirani yangu anon 6:34 ni wewe na roho yako na wivu wako, nadhani unamtamani sana mpaka umegeuka kuw ana kisasi cha kudhuru! Anapendeza sana KP kwenye hiyo serengeti anavutia sana! Keep it up keep KP nakufagilia! Mwenye kiziba cha roho apande juu akazibe kipaji ulichopewa na Mwenyezi Mungu!

    ReplyDelete
  18. Duh KP, am always looking forward for ur cartoons.. na ndo ulionifanya nianze kunywa Serengeti.. Nguo zako, they just blow me away with the creativity and quality.. Siku yangu huwa hainzi bila kusikiliza POWER BREAKFAST! Watu kama ANON wa 6:34:00 PM huwa wapo.. Na attitude yake inaonekana inatokana na frustuation za maisha yake! Utadhani yeye hajawahi fanya mistakes! Songa Mbele kaka and keep up the good work!

    ReplyDelete
  19. Sasa wewe mbigili wa February 25, 6:34 pm. Tumekuvumilia sana na msg zako za kashfa haujui maana ya Freedom of speech. Nenda kaulize alafu ndio uandike tena au kama uliacha au dada yako aliachwa usichukulia hii blog ndio maali pa kutoa hasira zako. Sisi tutakunywa serengeti, tutaangalia vipinda na tutazipenda sana toon za KP.

    ReplyDelete
  20. We anon 6:34 mimi nakusapoti kabisa
    Huyu Kipanya kamtusi PM wetu halafu hataki kuomba msamaha.

    Kazi zake mimi naziona kama hazina maadili.

    ReplyDelete
  21. Anon wa Feb25,08 6:34:00, siku ile nilikuambia una gubu ukakasirika, mkeo ana tabu mno, atakuacha usipoangalia, mtu unaongea kitu kisichoisha..kutwa wee na KP, anakumaliza eeh? na bado, atakuburuza sana mpaka akili ikusogee..umuache mtoto wa mwenzio babu usituumizie sie!! amah!!

    ReplyDelete
  22. Kipanya,
    The beast will not get evaporate you have to clear it anyway.

    Otherwise you will blame yourself

    ReplyDelete
  23. Kaka Michuzi
    Sisi wananchi inabidi tuamke sasa na kutaka mkataba wa Richmond usitishwe. Tunavyoendelea kutafuta mchawi(kuunda makamati,kesi na vinginevyo vinanyochelewesha actions) tutambue kabisa muda unakwenda na wanaendelea kulipwa Milioni 152 kila siku inayoenda.

    Napendekeza hatua ya kwanza iwe kusimamisha mkataba. Halafu jamaa washitakiwe kwa kuwahujumu watanzania mali zao zitaifishwe kwa manufaa ya watanzania.

    Kipanya,you are creative and entertaining. Asiyekubali hilo anakijiba tu cha roho. Wananchi watambue kuwa huu ni wakati wa kueleza fikra zako ili mradi zisiwe zinavunja sheria. Sasa mtu anapokuwa haelewi hilo ana matatizo. Wewe unaeleza kwa comic, kuna wengine wengi tu wanaandika columns kwenye magazeti maarufu wakimaanisha hicho hicho ulichokichora na wengine wanahost vipindi vya redio na television kuzungumzia hilo hilo. Hongera saaana kwa kazi nzuri ya kufikisha ujumbe kwa comic. Bravo...!!

    ReplyDelete
  24. anon wa feb 25, 6:34 pole kwa allergy uloipata kutokana na catoon ya beast, mbona wapo tuliyoiona haipendezi kwa tafsiri tulizojitolea wenyewe? ila wewe unaona imekusumbua sana , sasa tafuta alleviate juu ya hilo la sivyo utasumbuka sana, ushauri wa bure ukiona catoon za KP Wewe binafsi pitiliza, au fuuuunga macho sawasawa usije ukapata tatizo hilo linokusumbua kwa KP, wahenga walisema "mtoto akinyea mkono haukatwi"

    ReplyDelete
  25. KP KP WATU WAKIKUTUKANA WEWE WEKA BUTI MBELEEE,FANYA KAZI,KUNA KATUUNI NYINGI SANA TANZANIA ZINAKASHFU WATU SIO WEWE PEKEYAKO,KWAHIYO KP MIE DADA YAKO NAKUFAGILIA FWA FWA FWA!!!FANYAKAZI,TUBANDIKIE MA BEAST WENGINE,,,TUNA RAHA SANA NA KATUNI ZAKO,NA NIKIJA BONGO NITAKUJA DUKANI KWAKO,AMBAE HATAKI KUJA MWACHE NA KISIRANI CHAKE..DADA MDAU NORWAY

    ReplyDelete
  26. 1.Naishauri TRA ikachunguze duka la Kipanya kama analipa kodi ipasavyo

    2. Bodi ya utangazaji ikihakiki kipindi cha redio anachotangaza Kipanya kama kinaendana na maadili ya Kitanzania.

    3. Associated Brewaries wafute lile tangazo la Serenget lager kwa sababu linawakosesha wateja

    4.Katuni za kipanya zisichapishwe kabla hazijahakikiwa na mamlaka zinazojusika

    ReplyDelete
  27. Kipanya unajua kuchora lakini ujumbe unaoutoa unaleta utata kama si kuibore jamii kama ile katuni yako ya the beast

    ReplyDelete
  28. Nyie wote,Anonys wa 3:38 na 3:40 wote wanga kama nia yenu ni kupambana na wengi jitambulisheni tuwapake manyoya.Komeni kabisa KP atazidi kudunda.Nyie na vijiba vyenu tu!

    ReplyDelete
  29. Haters get a life! KP is here to stay! We all learn from our mistakes! Get over it and move on!

    ReplyDelete
  30. Anonys wa 3:38 na 3:40 NI MTU MMOJA, NI MDOGO WA MKE ALIYEACHWA NA MASOUD..ANA KIJIBA KIBAYA SANA!! HEHEEEEE...UNALO HILO BABU, TUNAKUJUA SANA!!

    OYA MICHU USIBANIE HII BASI, MBONA HIVYO JAMANI???

    ReplyDelete
  31. anony 8:13 uko sahihi lakini when we do bad things to others we have to seek for apology that how civilized people live

    The Beast of Kipanya irritated many people

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...